Tafuta

Tafuta ndugu zako hapa Utawapata kirahisi zaidi

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Ghasia zimeendelea nchini NIGERIA ambapo wanawake wawili wamefanya mashambulio ya kujitoa muhanga katika soko moja la simu👇✔

Takribani watu 14 wamekufa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika shambulio hilo.

Mashambulio hayo yametokea siku moja baada ya mlipuko uliotokea Jumanne kaskazini mashariki mwa mji wa YOLA nchini NIGERIA.

Akizungumza na waandishi wa habari Msemaji wa polisi wa mji huo amesema kuwa Basi dogo lililokua likisafirisha wanawake liliwasili katika soko maalumu la simu za mkononi na kushusha wasichana wawili wenye umri kati ya miaka 11 na 18 huku wote wawili wakiwa wamevaa hijabu.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Ghasia zimeendelea nchini NIGERIA ambapo wanawake wawili wamefanya mashambulio ya kujitoa muhanga katika soko moja la simu).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Tafuta ndugu zako msiojuana hapa Unaweza ukawajua kwa kujieleza na kuwasoma

👉SOMA ZAIDI HAPA...

ml.gif

.