.

Kichekesho%20Kipya Kijitabu cha Kilimo Bora cha Matikiti Kinafundisha ulimaji wa matikiti
πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

πŸ‘‰ Fedha za sherehe Bungeni zaelekezwa Hospitali ya Muhimbili asema MagufuliπŸ‘‡βœ”

IMG_20180109_191129.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 29 Jan 2016 14:55. [Legal & Authority]


Fedha za sherehe Bungeni zaelekezwa Hospitali ya Muhimbili asema Magufuli

322_magufuli.jpg?itok=8MnK5PFn

Rais Magufuli ametoa agizo hilo baada ya kupokea taarifa kuwa wadau mbalimbali wamechanga kiasi cha shilingi milioni 225 kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge katika siku ya uzinduzi wa Bunge.

Dkt Magufuli amesema alipata taarifa za kuwepo kwa michango hiyo ya fedha na kutoa maelekezo kuwa zitumike kwa kiasi kidogo kwa ajili ya hafla hiyo na sehemu kubwa zipelekwe katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili zikatumike kununulia vitanda na hivyo kupunguza tatizo la wagongwa wanaolala chini

Rais JOHN MAGUFULI amehudhuria hafla fupi iliyoandaliwa kwa ajili ya wabunge katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma na kuagiza fedha zilizochangwa kwa ajili ya kugharamia hafla hiyo zipelekwe Katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda vya wagonjwa.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Jinsi ya kupika Biskuti Za Tende Na Ufuta.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Fedha za sherehe Bungeni zaelekezwa Hospitali ya Muhimbili asema Magufuli).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Nini maoni yako kuhusu, Fedha za sherehe Bungeni zaelekezwa Hospitali ya Muhimbili asema Magufuli? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
Kichekesho%20Kipya Kijitabu cha Kilimo Bora cha Matikiti Kinafundisha ulimaji wa matikiti
πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

IMG_20180109_192514.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Kujaribu kufanya jambo kubwa la kipekee ni kushinda hata kama halijafanikiwa."

tafuta-ndugu.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS