Dawa ya kutibu wanawake wasio na hamu ya kufanya mapenzi yagundulika

Dawa ya kutibu wanawake wasio na hamu ya kufanya mapenzi yagundulika

Dawa ya kutibu wanawake wasio na hamu ya kufanya mapenzi yagundulika

Shirika la Dawa na Chakula nchini Marekani limeidhinisha matumizi ya dawa ya kwanza kabisa iliyoundwa mahususi kuwatibu wanawake ambao hawana hamu ya kufanya mapenzi. Lakini dawa hiyo itaambatana na onyo kali la kiafya kuhusu uwezekano wa mwanamke kupata madhara ikiwa ataimeza pamoja na pombe. Mojawapo wa mashirika ya kutetea haki za wateja limeunga mkono hatua hiyo lakini Shirika lingine limesema dawa hiyo ni hatari kwa wanawake.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Dawa ya kutibu wanawake wasio na hamu ya kufanya mapenzi yagundulika. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;