.

Kichekesho%20Kipya ๐Ÿ“•Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga๐ŸŒฟ๐Ÿ… Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10
๐Ÿ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

๐Ÿ‘‰ Afrika Kusini imetia saini makubaliano na Marekani kuruhusu Marekani kuuza kuku wake nchini humo๐Ÿ‘‡โœ”

images-23.jpeg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 29 Jan 2016 15:05. [Legal & Authority]


Afrika Kusini imetia saini makubaliano na Marekani kuruhusu Marekani kuuza kuku wake nchini humo

Makubaliano hayo yanatarajiwa kuondoa wasiwasi kati ya mataifa hayo baada ya Marekani kutishia kusimamisha manufaa ya biashara za bidhaa za kilimo inayopata Afrika Kusini kufuata mgogoro huo wa kuku.
Afrika Kusini ina wasiwasi kwamba mlipuko wa ugonjwa wa homa ya kuku ambao umewaua takriban ndege milioni 50 huenda ikasababisha hatari ya kiafya miongoni mwa wanyama na binaadamu.
Kuku ni chakula kinachopendwa sana Afrika kusini na wakosoaji wana wasiwasi kwamba Marekani itapeleka kuku wa ziada katika taifa hilo,hatua ambayo wanasema itaathiri pakubwa bishara ya nyama hiyo nchini humo.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Dondoo Muhimu kuhusu ugonjwa wa kisukari.

๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Afrika Kusini imetia saini makubaliano na Marekani kuruhusu Marekani kuuza kuku wake nchini humo).๐Ÿ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome๐Ÿ’ฏโœ”

Nini maoni yako kuhusu, Afrika Kusini imetia saini makubaliano na Marekani kuruhusu Marekani kuuza kuku wake nchini humo? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

IMG_20180125_210049.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Sasa unaperuzi Blog Bomba kwa mwaka huu. Blog inayokuhakikishia kupata mambo mapya kila siku. Endelea kufurahia Blog hii iliyopo kwa ajili yako."

kj.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS