Maoni ya sasa

Makala mpya kwa sasa
From categories:
page 1123...next »

Samahan dokta mi nimekuwa nikisumbuliwa Na fangasi wa candida Mara kwa Mara cjui chanzo Ni nini Na kwanini hujirudia

by melnda (guest), 24 Oct 2016 18:22

umetisha sana kaka.

by aderick mushumbusi (guest), 21 Oct 2016 06:56
aderick mushumbusi (guest) 21 Oct 2016 06:50
in discussion Mijadala mikuu (General Forums) / Mijadala na Hoja Mchanganyiko » Usiyoyajua kuhusu wanawake!!

umenena vyema,unamawazo mazuri yenye kuelimisha na kufundisha jamii.hila uendelee na moyo uwouwo,kazi njema.

by aderick mushumbusi (guest), 21 Oct 2016 06:50
Jamesjohn (guest) 13 Oct 2016 14:01
in discussion Mijadala mikuu (General Forums) / Mijadala na Hoja Mchanganyiko » Dogo huyu nae!!

Dogo yuko vzuri aulize atapaaje na malaika wanapaaje?

by Jamesjohn (guest), 13 Oct 2016 14:01

Halo Dr. wiki mbili zilizo pita nilikuwa nikikojoa mkoja unawasha na kuchoma kidogo na niliona alama alama nyeupe kwenye boxer, nilienda hospitali na kupewa dozi ya sindano tatu walinichoma kwenye mshipa wa damu mkononi. Sasa leo siku ya 11 lakini bado nahisi nikikojoa nawashwa na kuchoma kidogo kwenye penis yangu kwa ndani. Sasa ni kwamba dozi ya sindano haikufanya kazi au na ni ugonjwa gani labda?

by musa (guest), 13 Oct 2016 06:19
Josephine Ittika (guest) 12 Oct 2016 22:00
in discussion Mijadala mikuu (General Forums) / Mijadala na Hoja Mchanganyiko » Jinsi ya kulima guatemala

Nawezaje pata mbegu za haradali au unga wake?
Mwanza mjin

by Josephine Ittika (guest), 12 Oct 2016 22:00

Ni nzuri inaelimisha sana na inaweza ikawa suluhisho kwa wenzetu wanaokuwa na hofu isiyo na sababu kwa kutokufahamu!! Big up!

by Mchorongaji (guest), 12 Oct 2016 11:22

giligilani

by prisca (guest), 12 Oct 2016 11:11
denis mogonchi omboga (guest) 10 Oct 2016 03:36
in discussion Mijadala mikuu (General Forums) / Mijadala na Hoja Mchanganyiko » LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI

hakika nimejifuza mengi

by denis mogonchi omboga (guest), 10 Oct 2016 03:36

naomba ushauri
ufugaji wa vifaranga vya bata wa kienyeji

by kelvin (guest), 06 Oct 2016 09:10
Maria Kalufya (guest) 05 Oct 2016 06:41
in discussion Mijadala mikuu (General Forums) / Mijadala na Hoja Mchanganyiko » Rozari ya Huruma ya Mungu

Ndugu zangu tuikimbilie huruma ya Mungu kila siku tusiije tukajikutga tunakimbilia miungu wengine kama mali, fedha, waganga wa kienyeji jtutakuwa tumepotea. Tuungame dhambi zetu kila wakati tunapomkosea Mungu ili Yesu Kristu aliye katika kiti cha kitubio atuunganishe tena na Mungu baba, Yesu alimwambia Mt. Maria Faustina wa Kowalska kwamba atakayekwepa mkono wake wa huruma ataangukia kwenye mkono wake wa hukumu, kwa hiyo ni jukumu letu kuchagua mkono wa huruma kabla muda haujafika mwisho, mwisho ambao hauko mikononi mwetu. Tusali sana rozari ya huruma ya Mungu ni sala rahisi sana inayotupatia huruma isiyo na mipaka. Ndugu zangu tusali bila kuchoka tupate utakatifu ili tuweze kuwaombea na wengine wamuongokee MUNGU, TUMSIFU YESU KRISTO

by Maria Kalufya (guest), 05 Oct 2016 06:41

Ndugu yangu Melkizedeck Kuangalia picha hizi za ngono ni dhambi kubwa sana ni sawa sawa kabisa na kuua, kuua roho ya mwanadamu wapo watu wanatembea huku wameshakufa kwani roho zao zimekufa kabisa hawana tena hofu ya Mungu, hawana utambuzi wa dhambi, inahitaji sana kusali, kutoa sadaka, kutenda matendo mema pamoja na kufanya maungamo na malipizi mengi sana kwa ajili ya hili kwani ni janga la taifa na dunia nzima. Matokea ya kuzamisha uelewa wa mtu kwenye ngono kkunamfanya yule mtu aondokewe na ufahamu wa hali halisi ya maisha na pia kupoteza utambuzi wa Mungu na malengo ya kuumbwa kwetu. Ndugu ngono inasababisha kifo cha ROHO - tunakosa neema kutoka kwa Mungu- Kukosa ufalme wa mbinguni. Tumsifu Yesu Kristo

by Maria Kalufya (guest), 05 Oct 2016 06:26

#Nouma_ Nouma_ Achen_ Kuota_ Ndoto_ Km _Mnaeza.

by Salum N Nziku (guest), 01 Oct 2016 16:52

this really helped….. thank you
but what if there is need for one to know the financial models of evaluating and assessing the viability of an opportunity

by emy (guest), 29 Sep 2016 13:14

Na Wa shauri woote wenyekufanya tendo hilo basi waache kwani ukifanya hasara nikwako na ukiacha nifaida yako tafadha anza kwanzia Leo zoezi LA kujifunza kuacha mchezo huo

by yusuph mussa (guest), 27 Sep 2016 20:57

Nataraji kwa kuzingatia hayo uliyo yasema kuna uwezekano Wa kuacha Lakini mm Nina swali moja je? Punyeto INA wezakuchangi kwa kuchochewa na ma shetwani au laa

by yusuph mussa (guest), 27 Sep 2016 20:52

habari!
tafadhali kama itawezekana kwenye post mnazotoa muwe mnaweka na japo picha kwa mbali ili kupata uelewa zaidi.

by fredezra (guest), 27 Sep 2016 10:59

Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu au kuacha mahusiano kabisa.

by rachel anthony (guest), 26 Sep 2016 19:39
minja erick (guest) 25 Sep 2016 11:38
in discussion Mijadala mikuu (General Forums) / Mijadala na Hoja Mchanganyiko » Kuangalia picha za ngono

Asanteee sana kaka Melkisedeki kwa mafundisho hayo kwa kweli vijana wengi wameathirika na tatizo la kuangalia picha za utupu. Muhimu zaidi ni kushikamana na Mungu hasa katika mwaka huu wa huruma ya Mungu na pia tuweke malengo yetu mbele

by minja erick (guest), 25 Sep 2016 11:38

Asante,

Endelea kufwatilia makala za Afya


My websites » | Funny | Picha | Vichekesho | Wazo | Ackyshine |

by AckyshineAckyshine, 24 Sep 2016 13:55
page 1123...next »