SMS-NZURI-KALI-ZA-MAHABA

By, Melkisedeck Shine.

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Tafuta ndugu zako msiojuana hapa

T.gifSMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi

Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu
Ndilo sababu ya nguvu yangu
Tangulia pembeni mwa macho yake
Asubuhi hii hadi usiku ujao

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gifUjumbe wa kumhasa mpenzi wako akupende kama unavyompenda

yakumbuke haya sana katika maisha yako wahurumie wenye
kukupenda hasa mwenye pendo la dhati kama langu,wapende
wanaokupenda japo kwa chembe ya upendo,thamini pendo la
akupendae kwa kila mara japo sekunde moja.

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gifMeseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia usiku mwema mpenzi wako

Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gifSMS ya kumkumbusha mpenzi wako sifa za pendo la dhati

pendo la dhati lina sifa
zifuatazo,kuvumilana, kusubiriana, kujaliana, kushauriana, na
La Mwisho Ni Mimi Na Wewe.

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gifMeseji ya kumbembeleza mpenzi wako aje kwako

mpenzi usiende mbali nami,njoo ufaidi utamu usioisha
hamu,nitakupa mwili wangu ukeshe nao,nitakulisha
unachokitaka,sitakubania naogopa wengine wataniibia. .
.njo leo uniambie unataka nini?

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gifSMS ya kimahaba ya upendo ya kumtumia mpenzi wako anapoenda kwa mwingine

Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu hupatwa kidonda ninaokuona na mwingine
hasa anapokuwa hana sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wa kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gifMeseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako aache umpende kwa kuwa ni mzuri kwele kweli

Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji
kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo
kama ukiwa mbali "NIACHE NIKUPENDE SWEET"

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gifSMS ya kimahaba kwa mpenzi wako kumwambia unampenda sana hutaki hata sekunde ipite bila kumpenda

Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu,
basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila
kukupenda wewe.

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


.

page 1 of 27005123...2700427005next »

USIKOSE HIIπŸ‘‰Sasa unaweza kumtumia umpendaye Ujumbe mzuri hapa>>>

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.