SMS-MPYA-TAMU-ZA-MAHABA

Mpendwa Msomaji, baada ya kufurahia SMS kuhusu; SMS nzuri ya kumtumia mume wako, sasa nimekukusanyia SMS nyingi kwenye makala hii unayoisoma kuhusu;

SMS-MPYA-TAMU-ZA-MAHABA.

Endelea kefurahia SMS kila siku unapotembelea ukurasa huu. Ukitembelea ukurasa huu kila baada ya dakika moja utaweza kusoma SMS Mpya. Kwa sasa kuna SMS 250 kwa ajili yako.

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Kampeni ya Amani na Upendo

SMS-MPYA-TAMU-ZA-MAHABA

By, Melkisedeck Shine.

T.gif Meseji ya pongezi kwa mpenzi wako

pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la
mapenzi,ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili
chumbani.penzi lako halichakai daima huzaliwa upya.

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gif SMS ya kumwambia mpenzi wako anakufaa kwa kila kitu

Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu!

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gif Meseji ya kumuomba mpenzi wako asikuache kwa sababu na wewe haupo tayari kumuacha

Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata
ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gif Meseji nzuri ya salamu kwa umpendaye

Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?"

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gif SMS nzuri ya kumsihi mpenzi wako asikuchoke na asichoke kukupenda kwani unampenda sana

Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gif SMS ya kumshawishi mtu kuwa una upendo wa dhati

moyo upendao kwa dhati.
haujalish ni kababu au chapat.
n wng wa upendo wenye tarakimu kama somo la hisabati.
kumpata akupandae kwa dhati pia hyo n bahati.
nimfikiriaye kwa sasa nahc anaupendo wa dhati.
Nitashukuru anikaribishe naye nimuonyeshe upendo wa dhat.
Huu ni ukaribisho wa penzi la dhati.
wenye wing wa furaha na Lenye pendo la kitanashati.

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gif SMS ya kumuomba mpenzi wako asikuache

Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gif Meseji ya kumtumia mpenzi wako wakati unaenda kwake

nipe niridhike,nionjeshe usinilambishe,nikigonga
nikaribishe na penzi le2 2listawishe.

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


Unaweza kusoma SMS Mpya wakati wowote unapotembelea ukurasa huu kuhusu; SMS-MPYA-TAMU-ZA-MAHABA, kwenye ukurasa huu SMS zinabadilika kila baada ya dakika moja. Ukifunga ukurasa huu na kisha kuufungua tena baada ya dakika utaweza kuona SMS Mpya.

Pia Unaweza kuendelea kusoma SMS hizi;

USIKOSE HIIπŸ‘‰Sasa unaweza kumtumia umpendaye Ujumbe mzuri hapa>>>

.

PONGEZI-MPENZI-24498UA8.JPG
Slide3-mabestimliopotezana.PNG

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Kampeni ya Amani na Upendo

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa