SMS-BOMBA-TAMU-ZA-MAHABA

T.gifUjumbe kwa mpenzi wako kumwambia hutopenda mwingine zaidi yake

Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO"

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifSMS ya kimahaba kwa mpenzi wako kumwambia unampenda sana hutaki hata sekunde ipite bila kumpenda

Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu,
basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila
kukupenda wewe.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifUjumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda yeye tuu

Ingawa mwaka umekwisha, mawazo yangu katu sitobadilisha, amini ni wewe pekee unayenipagawisha, hakika kwa penzi lako kiu yangu katu haitakwisha!

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifSMS nzuri kwa ajili ya kumtumia mpenzi wako kumwambia sababu ya kumpenda

mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi ni
ujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenzi
ramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bila kujali.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifSMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako aliyekuacha kumuomba akurudie

ni bora mnara ukitikisika kuliko kupata pengo lisilozibika
moyoni umeniachia jeraha lisilotibika na ufa
usiozibika.rudi mpenzi unautesa mtima wa moyo wangu.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifMeseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutamuacha

Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu peke yako dear…

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifUjumbe wa kuasa kudumu katika upendo na mapenzi

Hii ni mbegu bora inaitwa UPENDO ipande kwa ndg zako,na pale utakapokuta imeota imwagilie maji ya FURAHA,iwekee kivuli cha USHIRIKIANO, ipalilie kwa jembe la KUSAMEHE, iwekee mbolea ya AMANI, ipige dawa ya NENO LA MUNGU, itakayoua wadudu wote waharibifu kama ubinafsi, chuki, wivu, dharau, unafki, kiburi, choyo, tamaa na fitna kwenye mmea huu, MMEA HUU (UPENDO) UENDELEE KUWA MCHE BORA KULIKO YOTE KTK MAISHA YAKO SIKU ZOTE.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifUjumbe wa mapenzi wa kumpa umpendaye thamani kubwa

Umbo lako kama sayari, lizungukapo umbile la jua
ni kama upendo wa thamani usioweza kuuzika.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifUjumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa yupo juu katika mapenzi

Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwako
ni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifMeseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa umezama kwake

tazama, nimezama
ndani ya bahari
la penzi lako
siwezi
kusonga mbele
kurudi nyuma
sijielewi
haya mapenzi ya fujo hayafai
kama wanipenda
jaribu kunipa raha

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifUjumbe wa kutuma kwa mpenzi wako ajione mwenye thamani kubwa

Wewe ni mngโ€™arao machoni mwangu;
Tabasamu la midomo yangu;
Furaha ya uso wangu;
Kwa sababu bila wewe, mimi sinajipya.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifSMS nzuri ya Sikukuu ya kuzaliwa au Birthday

Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi
akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,
pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,
nakupenda la azizi.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifSMS ya kumwambia mpenzi wako anakufaa kwa kila kitu

Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu!

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifUjumbe wa kimahaba kumuomba mpenzi wako asichoke kuwasiliana na wewe kwa kutumia simu

Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji
na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke
kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifSMS nzuri ya kimahaba kueleza kuhusu penzi

penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna moja
niijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


USIKOSE HII๐Ÿ‘‰Sasa unaweza kumtumia umpendaye Ujumbe mzuri hapa>>>

.

wadogo.gif
Slide2-utotoni.GIF

USIKOSE HII๐Ÿ‘‰ Look for Research Consultant?

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>