MESEJI-TAMU-ZA-MAHABA

By, Melkisedeck Shine.

T.gifMeseji ya kumuomba mpenzi wako asikuache kwa sababu na wewe haupo tayari kumuacha

Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata
ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gifMeseji ya kumkaribisha mpenzi wako

Njoo pendo langu nikutembeze
katika milango ya furaha
Nikuwakilishe mbele ya majamaa zangu
Nikuonjeshe asali ya pendo langu

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gifSMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako aliyekuacha kumuomba akurudie

ni bora mnara ukitikisika kuliko kupata pengo lisilozibika
moyoni umeniachia jeraha lisilotibika na ufa
usiozibika.rudi mpenzi unautesa mtima wa moyo wangu.

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gifMeseji ya kumtumia mpenzi wako anapoonyesha kukupenda

Nakupenda kwa kuwa umegundua thamani ya penzi langu
nakuahidi utafaidi utamu wa mapenzi yangu

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gifSMS ya kumdekeza mpenzi wako na kumwambia unavyompenda

mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi ni
zawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,naweza
kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyo
wangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gifUjumbe mzuri wa SMS wa usiku mwema kwa mpenzi wako umpendaye

Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wa
kushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi wa
upendo na kiherehere cha kuabudu.say Amen! Ucku mwema
mpenz

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gifUjumbe mtamu wa mapenzi

Pendo la kweli ni hisia zilizomo moyoni ambazo sauyi yake haisikiki isipokuwa kwa akupendae kwa dhati.

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gifSMS nzuri ya kumtumia mume wako

hakika kama ni mume MUNGU kanipatia,kuwa nawe najiona
kama malkia ,nakupenda mpz na daima nitaenzi penzi
lako.

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


.

page 1 of 28211123...2821028211next »

USIKOSE HIIπŸ‘‰Sasa unaweza kumtumia umpendaye Ujumbe mzuri hapa>>>

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.