MESEJI-NZURI-NZURI-ZA-MAPENZI

T.gifSMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa haumpendi kwa uzuri wake tuu

Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tu
Uzuri wako sio sababu ya mimi kukupenda
Ila nakupenda kwa matendo yako na jinsi ulivyoumbika.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifMeseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye

USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na
wali,
usizidishe siki akawa mkali.
Ni
mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifSMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako wa kike kumsifia na kumwambia unavyompenda

mahakama ya upendo iliyopo mtaa wa busu imenihukumu
kufungwa kwenye gereza la moyo la mcchana huyo milele kwa
kuutesa mtima wa moyo wa mcchana mmoja ,asiye na
mashauz,mwenye wing upendo ,maneno matamu ,mahaba ya dhat
na mapenz mazito zito,

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifUjumbe wa kimahaba kwa umpendaye sana

Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yako
kuwa pamoja

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifUjumbe wa kimapenzi kumwambia mpenzi wako kuwa umelipata penzi ambalo ndio kutoka kwake tuu

Penzi, maisha yangu yote nimesoma juu ya neno hili,
nimeota juu yake, nimelilia, nimelihitaji. Sasa pamoja
nawe nimelipata.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifUjumbe wa kumwambia umpendaye kuwa ni pengo lisilozibika milele kwa hiyo asikuache

nikipoteza kitu cha thamani nitauzunika nitasahau ila
nikikupoteza wewe ni pengo lisilozibika kamwe.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifUjumbe kwa mpenzi wa kimahaba

yapitayo mdomon yametokea moyon,uyaonayo hadharani
nimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wa
yakini.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifUjumbe wa kumsifia mpenzi wako kumwambia kuwa hakuna anayemfikia yeye

Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo
mazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe,
kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifSMS ya kumtumia mpenzi wako usiku

Nenda sms taratibu kwa yule ma BEST nimpendaye,ukimkuta
amelala ucmuamshe mpige busu kisha mnong'oneze mwambie
nampenda sanaaaa
Nilivyokutana nawe cku ya kwanza nilikupenda kwa dhati
,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako,cwezi
kuchezea nafac hyo laaziz nitakushika daima.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifSMS ya kumtumia mpenzi wako kunapokuwa na wanafiki wanaoingilia penzi lenu

Wanafiki tusiwaombee kifo daima na milele washuhudie penzi
letu linavyozidi kukua,na tunavyopambana na mapito.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifSMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana

Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,
hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasa
naogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosa
katika maisha yangu.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifSMS ya kumwomba mpenzi wako akuthamini kwa sababu unampenda sana

Naomba niwe CHOZI ndani ya JICHO lako,
Nikitoka tu NIDONDOKE kwenye SHAVU lako,
Ukinipangusa NIGANDE kwenye KIGANJA chako,
Kwa sababu NAKUPENDA sana

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifSMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa bado unampenda na hujabadilika

"Japokuwa"
"Kuku" "Haogi" "Yai" "Lake" "Litabaki" "Kuwa" "Jeupe" "Tu" "Namaanisha"
"Kuwa"
"Hata" "Kama" "Ukiona"
"Nipo" ""KIMYA"" Muda"
"Mrefu" ""UPENDO"" "Wangu" "Kwako"
"""Bado"""
"Uko" Pale pale!!!!!
Usijali
"Tupo Pamoja" "Kwa" "Asilimia 100%".

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifSMS ya mshale wa mapenzi kwa umpendaye

»-——»>

Mshale huu unamtafuta mtu muhimu sana ktk
maisha yangu na kama umekutana nao
usiukwepe uache
uchome Moyo wako gharama
za matibabu juu yangu.

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


T.gifMeseji ya kumtumia mpenzi wako unayempenda sana

Napenda Kuiga Na Kujifunza Nisivyovijua Lakini Kukupenda
Wewe Siwezi Kuiga Wala Kujifunza. Nakupenda Saaana

๐Ÿ”ฅโ™ฅโ™ฅโ™ฅ


USIKOSE HII๐Ÿ‘‰Sasa unaweza kumtumia umpendaye Ujumbe mzuri hapa>>>

.

ndugu.gif
kj.gif

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa