MESEJI-NZURI-MPYA-ZA-MAPENZI

Mpendwa Msomaji, baada ya kufurahia SMS kuhusu; SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa upo tayari kumvumilia, sasa nimekukusanyia SMS nyingi kwenye makala hii unayoisoma kuhusu;

MESEJI-NZURI-MPYA-ZA-MAPENZI.

Endelea kefurahia SMS kila siku unapotembelea ukurasa huu. Ukitembelea ukurasa huu kila baada ya dakika moja utaweza kusoma SMS Mpya. Kwa sasa kuna SMS 250 kwa ajili yako.

MESEJI-NZURI-MPYA-ZA-MAPENZI

By, Melkisedeck Shine.

T.gif Ujumbe mzuri wa kumuomba mpenzi wako asikuache

Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gif SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema

Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gif Meseji nzuri ya kumuonyesha mpenzi wako jinsi gani umejitolea kwake

Kama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha na maumivu yake ndani yangu.

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gif Meseji ya namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda

Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu Yenye
Kuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha Mioyoni
Mwetu,hutamkwa Kwa Kauli Bashasha,nakshi Na Hofu Ndani
Yake.raha Yake Umpate Anayekujali Kama Mi Ninavyokujali
Nakupenda Mpz

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gif SMS ya kumwambia umpendaye akijisikia upweke akukumbuke wewe kwani upo kwa ajili yake

Watu husema kwamba, awapo mtu mmoja tu akupendaye, maisha
hayajapoteza maana, kwa hiyo, ukijihisi mpweke hauhitaji
kuishi nikumbuke mimi.

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gif Meseji ya kumwambia mpenzi wako asiwaze hata siku moja kuwa unawea kumuacha

Asali wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba
mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linaweza
kusimama, lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza
kukuacha.

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gif SMS ya kumwambia mpenzi wako unampenda na hauna mpango wa kumuacha

Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu
umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu
peke yako dear…

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


T.gif Ujumbe wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi wako kuwa haupo tayari kumpenda mwingine kwani unampenda yeye tuu

sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi
yako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia
moyoni mwangu
mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi, nakupenda

πŸ”₯β™₯β™₯β™₯


Unaweza kusoma SMS Mpya wakati wowote unapotembelea ukurasa huu kuhusu; MESEJI-NZURI-MPYA-ZA-MAPENZI, kwenye ukurasa huu SMS zinabadilika kila baada ya dakika moja. Ukifunga ukurasa huu na kisha kuufungua tena baada ya dakika utaweza kuona SMS Mpya.

Pia Unaweza kuendelea kusoma SMS hizi;

USIKOSE HIIπŸ‘‰Sasa unaweza kumtumia umpendaye Ujumbe mzuri hapa>>>

.

SALAMU-JIONI98HBS.JPG
KADI-MMISI-MZAZI.JPG

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>