πŸ“Œ Neno hili kuwa nafsi tatu kwa Mungu mmoja laitwaje?


πŸ“Œ Adhabu ya dhambi ndogo ni nini?


πŸ“Œ Mpako wa Wagonjwa ulianzishwa na nani?


πŸ“Œ Nani ameumba vitu vyote?


πŸ“Œ Malaika ni viumbe gani?


πŸ“Œ Wakati wa ibada tuvae vipi?


πŸ“Œ Kwa sababu gani yatupasa kuwaheshimu Baba na Mama?


πŸ“Œ Kanisa ni Takatifu maana yake ni nini?


πŸ“Œ Sakramenti za wazima ni zipi?


πŸ“Œ Vizuizi vya ndoa ni kitu gani?


πŸ“Œ Neema ya Utakaso yapatikanaje?


πŸ“Œ Kanisa linafafanuaje fumbo la umwilisho?


πŸ“Œ Je, Maria ni mama yetu pia?


πŸ“Œ Siku ya tatu baada ya Yesu kufa ilitokea nini?


πŸ“Œ Sakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ipi?


πŸ“Œ Sala ya Taamuli ni nini?


πŸ“Œ Matokeo ya Sakramenti ya Daraja ni yapi?


πŸ“Œ Zaka ni nini?


πŸ“Œ Malaika wote walidumu katika hali njema na ya heri?


πŸ“Œ Mungu ametufunulia nini?


πŸ“Œ Je, Yesu amejenga Kanisa lake imara juu ya mwamba?


page 1 of 15348123...1534715348next »

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>