.

images-24.jpeg

"Katika maisha, kinga kuu ya magonjwa na majanga yote ni kujikatalia au kujinyima.."

.

.

IMG_20180109_191617.jpg

"Tunatakiwa tujithaminishe wenyewe kwa yale tunayoona tunauwezo wa kuyafanya japokuwa watu wengine wanatuthamanisha kwa yale wanayoyaona tumeshayafanya."

.

.

IMG_20180109_190725.jpg

"Ukitaka kufanya biashara kwa ufanisi; wakati wa kununua nunua ukiwa na mtazamo wa muuzaji kwa kufikiri kama wewe ungekua ndio unauza ungeuzaje, na Wakati wa kuuza uza ukiwa na mtazamo wa mnunuzi kwa kufikiri kama ungekua wewe ndiye mnunuzi ungenunuaje.."

.

.

IMG_20180109_190725.jpg

"Kushindwa jambo sio Makosa, bali kuacha kufanya jambo kabisa ni makosa makubwa.,"

.