YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog kwa Wakatoliki

Mpangilio wa kurasa Kwa Wakatoliki ndani ya AckySHINE

|| HOME || MAKALA || TAFAKARI || SALA || MAFUNDISHO || MIUJIZA || WATAKATIFU || NYIMBO || PICHA ||

.

πŸ‘‰ Zingatia hili kuokoa nafsi yakoβœ…

πŸ‘Baada ya kusoma kuhusu;πŸ‘‡
IMG_20170703_130916.jpg
πŸ’₯Leo nimekutayarishia makalaπŸ“œ kuhusu Zingatia hili kuokoa nafsi yako.πŸ‘‡

πŸ’«Zingatia hili kuokoa nafsi yakoπŸ‘‡

Kundi la watu lilikwenda mahali wakakuta mawe yamezagaa. Ghafla wakasikia sauti ikisema: "Atakaeokota atajuta na asiyeokota atajuta,"

baadhi yao wakaokota na wengine hawakuokota. Wakarudi nyumbani. Asbh yale mawe yakageuka Dhahabu, waliookota wakajuta kwa nini wameokota machache, wasio okota wakajuta kwanini hawakuokota. Hivyo ndivyo itakavyokuwa siku ya Kiama; "wapo watakaojuta kwa nini walitenda mema machache, na tupo tutakaojuta kwa nini hatukutenda mema kabisa!!!". Nafasi ya kuokota ipo hapa duniani kabla Roho haijaachana na mwili. Naomba uufanyie kazi ujumbe huu.

images-23.jpeg

πŸ“Nini MaoniπŸ’­ yako Kuhusu Zingatia hili kuokoa nafsi yako? Niandikie hapaπŸ‘‡

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
IMG_20170703_130412.jpg

πŸ“š Endelea kusoma kuhusu;-πŸ‘‡

.

.

.

.

.

images-17.jpeg

Tumsifu Yesu Kristu….

Jina langu ni Melkisedeck L. Shine. Mwandishi wa Blog hii, Mimi ni Mkristu Mkatoliki

Usisite kuniandikia maoni,mapendekezo au maswali hapa
Jina
Dini/dhehebu
Mfano Mwislamu, Katoliki, Lutherani, Mlokole n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako

ABOUT ME | MY PERSONAL BLOG

.