Kuna Kipindi katika maisha yako unaweza ukapitia mambo Fulani magumu hadi ukaanza kujiuliza,hivi kwa nini yote haya yananitokea?Why Me God?.Na Mimi nimeshawahi kupitia katika hali hii.

Nilichojifunza ni kuwa hakuna changamoto ya kudumu milele na katika kila kinachoonekana Leo kuwa hakina majibu,ukiamini kuwa inawezekana basi utapata majibu yake.

Watu wanaoibuka kuwa washindi kwenye maisha ni wale ambao wanapojikuta katika hali ngumu sana na tata katika maisha yao,huwa wanajiambia-"Hata hili nalo litapita"

Kuna siku utaangalia nyuma ulikotoka na hautaimi jinsi ulivyoshinda na kuvuka.Majibu yako njiani.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare makala hii kuhusu Wakati unapitia magumu usikate tamaa.πŸ‘ Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp!πŸ’―βœ”


images-11.jpeg
Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Sala ni kama chakula cha Roho, Bila sala roho inakufa. Tusali daima ili roho zetu ziwe hai siku zote.

Mungu Akubariki sana… Tuombeane!

tafuta-ndugu.gif

πŸ“š Endelea kusoma kuhusu;-πŸ‘‡

KWA-NINI-TUNAMUHESHIM-MARIA.JPG