Sala

Sala ni neno la jumla linalojumuisha maombi, Toba, ibada, tafakari, shukrani, na masifu au sifa

Maombi

Maombi ni aina ya sala ya kumsihi Mungu kuhusu jambo au hitaji. Ni kutaka kutimiziwa jambo unalolitaka.

Kwa hiyo maombi ni sehemu tuu ya Sala na ndio maana ibada ya Misa inaitwa sala kwani imejumuisha maombi, tafakari, masifu, shukran na Toba

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare makala hii kuhusu Tofauti ya Sala na Maombi.πŸ‘ Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp!πŸ’―βœ”


IMG_20180109_190721.jpg
Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Sala za kila siku katika maisha ndiyo hazina kubwa na msaada hasa wakati wa kufa. Adumuye katika sala Mungu hatomwacha saa ya mwisho. Tusali, tusali, tusali daima…

Mungu Akubariki sana… Tuombeane!

NI-VIZUR-KUMSIFU-MARIA-AU.JPG

πŸ“š Endelea kusoma kuhusu;-πŸ‘‡

SALAMU-JIONI98HBS.JPG