Tafakari: Je tunamkumbuka Mungu wakati gani?

Tumsifu Yesu Kristu…

Karibu tena katika Website yako uipendayo ya Wakatoliki yenye mambo mengi kuhusu Imani na Mafundisho ya Kikatoliki. Kama una wasiwasi kuhusu Imani ya Kanisa Katoliki nimekuandalia makala maalumu ya kukufunulia Ukweli hapa>>.

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandikia makala nzuri inayopendwa kuhusu; Mambo manne ya mwisho katika maisha, kwa sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Tafakari: Je tunamkumbuka Mungu wakati gani?.

Unaweza pia kupokea makala zote mpya zinazopostiwa hapa kwenye email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo.

Endelea kuelimika na kubarikiwa kila siku unapotembelea tovuti hii.

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Je, divai (pombe) ni halali?

Tafakari: Je tunamkumbuka Mungu wakati gani?

By, Melkisedeck Shine.

Msimamizi wa ujenzi alikuwa anamwita mjenzi chini ya jengo yeye akiwa ghorofa ya 16. Lakini kwa sababu ya kelele za nje, mjenzi pale chini hakusikia sauti hiyo.

Ili kumfanya mjenzi ashtuke, msimamizi alirusha noti ya sh elf 5, kutoka juu na ikaangukia alipo mjenzi yule. Mjenzi aliokota, akaweka mfukoni na kuendelea na shughuli zake.

Msimamizi akarusha tena noti ya elf 10 kwa mjenzi yule. Kwa nia ya kumshtua ili wawasiliane, wakati huu pia mjenzi aliokota ile elf 10, akaiweka mfukoni na kuendelea na shughuli zake.

Sasa msimamizi akaamua kuchukua kajiwe kadogo na akarusha kakampata mjenzi. Safari hii, kwa sababu kale ka jiwe kalimuumiza, aliangalia juu ajue kalipotoka, Ndipo msimamizi alipopata nafasi ya kuwasiiana.

Hebu tafakari kwa muda. Mungu anataka mawasiliano nasi, lakini tuko busy na shughuli zetu za dunia hii.
Anatupa zawadi/ baraka kubwa na ndogo tunazichukua na kuzifurahia bila hata kujua zinatoka kwake, bila hata kushukuru. Na mara nyingi tukijisifu kuwa TUMEBAHATIKA.

Lakini pale tunapo rushiwa kajiwe kadogo, ambacho tunaita (MATATIZO), ndipo tunamkumbuka Mungu.
Hapo ndipo tunapoomba/sali na kuwasiliana na Mungu.

Mungu anatupatia vyote na kutusamehe dhambi, sisi tunapokea na kusahau, tubadilike, Mungu hafurahii.

Tusisubiri turushiwe mawe, wakati wote tumkumbuke na kumsifu Mungu.

Tufanye kumuomba,kumshukuru na kumsifu Mungu iwe sehemu ya maisha ya kila siku.
Mbarikiwe.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Tafakari: Je tunamkumbuka Mungu wakati gani?. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Tafakari: Je tunamkumbuka Mungu wakati gani?, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

β€’ Tafakari ya leo ya Katoliki kuhusu Bikira Maria Mama wa Wakristu Wote, isome hapa

β€’ Maswali na majibu kuhusu Biblia, isome hapa

β€’ Kwa nini Wakatoliki wanaungama dhambi kwa Padri?, isome hapa

β€’ Mambo yanayorudisha kwaya Katoliki nyuma, isome hapa

β€’ Maana ndefu ya Ishara ya msalaba, isome hapa

β€’ Mafundisho na mapokeo Katika Kanisa Katoliki yanapopatikana kwenye Biblia, isome hapa

β€’ Neno la hekima la leo, isome hapa

β€’ Aliyevumbua utaratibu wa kuweka mistari na sura katika Biblia, isome hapa

β€’ Majaribu na Aina zake, isome hapa

β€’ Daima Tinakumbushwa kuungama dhambi zetu hata kama ni ndogo kiasi gani, isome hapa

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Kutubu ndio njia pekee ya kumrudia Mungu. Toba ya kweli ndiyo iletayo maondoleo ya dhambi. Ukiondolewa dhambi unaimarishwa na kufanywa mya. Tubu usamehewe na kufanywa mpya."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Tafakari: Je tunamkumbuka Mungu wakati gani?, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Ombi moja twalileta kwako
[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Mbingu zimenena
Mtakatifu-Agostino-wa-Hippo.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Agostino wa Hippo.
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Agostino wa Hippo hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

.

IMG_20170703_130936.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Mungu ni zaidi ya Mzazi na upendo wake ni zaidi ya wa Wazazi. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!