Tafakari ya SA-SE-SI-SO-SU

By, Melkisedeck Shine.

:::::"SA"::::::
:::::::"SE"::::::
:::::::::"SI"::::::
::::::::::"SO"::::::
::::::::::::"SU"::::::

🌾🎋SA SE SI SO SU

Sikufundishi kusoma, bali nakufahamisha yafuatayo;
*+*🌾🎋
SA:- Samehe watu wote wanaokukosea ili uhesabiwe haki na MUNGU.
*+*🌾🎋
SE:- Sema na MUNGU muda wote kwa njia ya maombi ili upate nguvu za kumshinda Shetani.
*+*🌾🎋
SI:- Simama Imara kuitetea Imani yako wakati wa shida kama:SHEDRACK, MESHACK NA ABEDNEGO walivyofanya.
*+*🌾🎋
SO:- Songa Mbele katika vita tuliyonayo Dhidi ya Shetani na Majeshi ya Pepo Wabaya,
*+*🌾🎋
SU:- Sugua Magoti kwa kumwita Roho Mtakatifu akae ndani ya Maisha yako.
🌾🍁🍃🍂🍁🍁🌾🌾
MUNGU AWABARIKI SANA
🌾🎋 🙏 AMEN 🙏🎋🌾Fwatilia Website hii kupokea Makala Kama hii ya Tafakari ya SA-SE-SI-SO-SU

Endelea kusoma makala hizi za kufanana na hii ya; Tafakari ya SA-SE-SI-SO-SU

a.gif Maneno ya busara kwa anayetafuta Mme au Mke

Usifanye maamuzi kwa kutumia vigezo vyepesi.
"Nampenda sana"
"Tunapendana mno"
Unaweza kumpenda mtu yeyote. Upendo huzaliwa na huuawa na mazingira fulani. Kwamba unampenda (sana) sio jambo la msingi… soma zaidi

a.gif Chagua kunyamaza: Huu ni ushauri kwa Leo

MITHALI 11:12 Asiye na akili humdharau mwenziwe; Bali mtu aliye na ufahamu hunyamaza… soma zaidi

a.gif Ujumbe kwa wakina dada

Dada, Mwanaume mwenye busara hashawishiki na Uzuri ulionao, umbile lako, mawigi na mitindo ya nywele unayobadilisha kila siku, wala kwa rangi yako hiyo ya kizungu uliyoinunua dukani kwa sh 3500… soma zaidi

[Sala Ya Sasa] 👉Majitoleo ya Asubuhi

[Wimbo Mzuri PA.gif] Amebarikiwa Bikira Maria

[Jarida La Bure] 👉Biblia Takatifu: Agano la Kale

KADI-SALAMU-USIKU-MZAZI.JPG

a.gif Sadaka ya Misa Takatifu yatolewa kwa nia gani?

Sadaka ya Misa Takatifu yatolewa kwa nia ya kumwabudu Mungu, kumshukuru, kujipatanisha nae na kumwomba. (Ebr 9:14).. soma zaidi

a.gif Novena ya Huruma ya Mungu

Utangulizi.. soma zaidi

a.gif Kwa nini Binti usivae Suruali, ubaya wa Suruali kwa wanawake

By : Ntogwisangu J. C
🔹Kumekuwa na mada nyingi na maswali mengi kuhusu mabinti kuvaa suruali (hasa waliookoka), michango mingi na mafundisho mengi yametolewa, nami naomba niongezee kitu kidogo.
🔹Zifuatazo ni sababu kwanin binti hautakiwi kuvaa suruali….. soma zaidi

a.gif Yesu amemweka nani kuwa mkubwa wa Kanisa?

Yesu amemweka Mtume Petro kuwa Mkubwa wa Kanisa zima. (Mt 16:18-19). Halifa wa Mtume Petro ni Baba Mtakatifu… soma zaidi

a.gif Sakramenti ya Mpako Wa Wagonjwa inamanufaa gani rohoni mwa mtu?

Manufaa ya Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa ni.. soma zaidi

a.gif Kisha kuumba Malaika Mungu aliumba nini?

Kisha kuumba Malaika Mungu aliumba Mbingu na dunia, na viumbe vingine vingi vyenye kuonekana mimea na watu. (Mwanzo 1;31).. soma zaidi

a.gif Je, sala inaweza kuwaendea Mama na marafiki wa Yesu (Watakatifu)?

Ndiyo, sala inaweza kuwaendea Mama na marafiki wa Yesu, walioungana naye kuwa mwili mmoja, wasiweze kutenganishwa na chochote… soma zaidi

a.gif Papa amejaliwa na Mungu mamlaka gani?

Papa amejaliwa na Mungu mamlaka kamili juu ya waamini wote awafungulie ufalme wa mbinguni, kama Yesu alivyomuambia Petro: “Nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lolote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni, na lolote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni” (Math 16:19)... soma zaidi

a.gif Uzima wa milele ni nini?

Uzima wa milele ni maisha ya kukaa mbinguni na Mungu yasiyokua na mwisho… soma zaidi

a.gif Tushiriki mafumbo hayo mara ngapi?

Tushiriki mafumbo hayo kadiri ya umbile la kila mojawapo. Kuna “ubatizo mmoja” (Ef 4:5) kwa sababu ni kuzaliwa upya “kwa maji na kwa Roho” (Yoh 3:5), jambo lisiloweza kurudiwa… soma zaidi

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

.

.

.

.

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.