YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog kwa Wakatoliki

Mpangilio wa kurasa Kwa Wakatoliki ndani ya AckySHINE

|| HOME || MAKALA || TAFAKARI || SALA || MAFUNDISHO || MIUJIZA || WATAKATIFU || NYIMBO || PICHA ||

.

πŸ‘‰ Mungu ni Mkubwaβœ…

πŸ‘Baada ya kusoma kuhusu;πŸ‘‡
IMG_20170703_130412.jpg
πŸ’₯Leo nimekutayarishia makalaπŸ“œ kuhusu Mungu ni Mkubwa.πŸ‘‡

πŸ’«Mungu ni MkubwaπŸ‘‡

Mtoto mmoja alimuuliza baba yake. "Baba, hivi Mungu ni mkubwa kiasi gani?" Baba yake akatazama juu angani akaona ndege ya abiria akamuuliza mwanae "mwanangu, ile ndege ina ukubwa Gani?" Mtoto akajibu ni ndogo sana.
Basi Baba yake akamchukua hadi uwanja wa ndege walipofika karibu na ndege akamuonesha ndege akamuuliza " ile ndege ina ukubwa gani?? Mtoto akajibu "Hiyo Ndege ni Kuuuubwa sana" basi Baba yake akamwambia
..
"Mwanangu, hivyo ndivyo ilivyo kuhusu ukubwa wa Mungu, mara zote hutegemea wewe upo umbali gani ili kuona ama kujua ukubwa wake." "Ukiwa mbali na Mungu kiroho utaona Mungu ni mdogo sana, ila ukiwa karibu naye wakati wote Utamwona ni mkubwa kuliko kawaida na hakuna mfano wa kulinganisha"

Sogea karibu na Mungu Mpendwa ili uhisi uwepo na ukuu wake.

Ubarikiwe.

πŸ‘‰ Mambo muhimu katika salaπŸ“œ

IMG_20170703_130916.jpg

πŸ“Nini MaoniπŸ’­ yako Kuhusu Mungu ni Mkubwa? Niandikie hapaπŸ‘‡

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
images-16.jpeg

πŸ“š Endelea kusoma kuhusu;-πŸ‘‡

.

.

SHINE-MELKISEDECK.jpg

"Mungu ni mwenye haki, mpenda haki na mtenda haki. Unapoenenda kwa haki na yeye ataipigania haki yako.."

.

.

images-24.jpeg

"Mungu anamjibu mtu sala zake kutokana na anachonuia."

.

.

SOKOINE-UNIVERCITY-OF-AGRICULTURE.jpg

"Hakuna Binadamu anayemchukia Mungu kama hajichukii yeye mwenyewe na wale wanaomzunguka. Huwezi kusema humtaki Mungu kama hujichukii mwenyewe na wale waliokuzunguka vivyo hivyo huwezi kusema Unampenda Mungu kama hupendi wengine waliokuzunguka.,"

.

.

IMG_20170703_130936.jpg

Tumsifu Yesu Kristu….

Jina langu ni Melkisedeck L. Shine. Mwandishi wa Blog hii, Mimi ni Mkristu Mkatoliki

Usisite kuniandikia maoni,mapendekezo au maswali hapa
Jina
Dini/dhehebu
Mfano Mwislamu, Katoliki, Lutherani, Mlokole n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako

ABOUT ME | MY PERSONAL BLOG

.