Aliyevumbua utaratibu wa kuweka mistari na sura katika Biblia

Je, WAJUA?

Aliyevumbua utaratibu wa kuweka SURA na MISTARI katika BIBLIA.
Ni kasisi (Padri) Mwingereza,
Bw. Stephan Lungaton.
Na
Mwanzoni ilikuwa zinasomwa kwa kutumia sura tu.
Na
Baadae akafundisha na kuelekeza utaratibu wa kuigawa Biblia kwa kutumia sura na Aya (mistari)
Ilikuwa mnamo karine ya 13 alipokuwa Asikofu mkuu wa jimbo la Canterbury.
Na wakati huo alikuwa Mwalimu ktk chuo kikuu cha Paris Ufaransa.
*Nmeicopy somewhere*

.

.

.

IMG_20181021_134724.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Njia ya Kumtafuta Mungu. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!