Hizi ndio ajali mbaya kuliko zote hapa Duniani, japo wengi huziona za kawaida tu, omba usikutane nazo kabisa!

1. Kuvunjika Moyo wa Kusali
2.Kutoroka Meza ya BWANA
3.Kutohudhuria Ibada
4.Kutosoma BIBLIA
5.Kuishi bila MAOMBI
6.Kuchelewa KANISANI na MIKUTANO ya Kiroho
7.Kumwibia ZAKA MUNGU
8.Kuvunja Amri za Mungu
9.Kukosa Upendo
10.Kubwa zaidi ya yote Kutokua na Roho ya Kusamehe. Muombe Mungu akuepushe mbali na ajali hizo.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare makala hii kuhusu Ajali mbaya kuliko zote duniani Kiroho.πŸ‘ Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp!πŸ’―βœ”


IMG_20180109_192604.jpg
Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Hakuna Maisha ya Kikristo bila Kusali. Kama kuna Mkristo anaishi bila kusali huyo siyo Mkristo bali Mkristo mfu. Sala ndiyo uhai wa Mkristo. Hakuna Njia nyingine yoyote ya kumfikia Mungu isipokua sala.

Mungu Akubariki sana… Tuombeane!

NI-VIZUR-KUMSIFU-MARIA-AU.JPG

πŸ“š Endelea kusoma kuhusu;-πŸ‘‡

kj.gif