picha: 'file:matikiti-matango/MATIKITI-MATANGO.jpg'
beikamili: '5,500'
beiyaofa: '1,000'
maelezoyabidhaa: "Ni jarida linalotoa elimu ya Kilimo Cha Matikiti Maji, Karoti, Uyoga na Matango. Kipo katika Mfumo wa PDF (Soft copy).\n\nJarida hili linaelekeza jinsi ya kulima Matikiti Maji, Karoti, Uyoga na Matango kuanzia hali ya hewa inayohitajika, udongo, upandaji, utunzaji, magonjwa na wadudu pamoja na uvunaji. Kwa hiyo utajifunza kilimo cha mazao hayo yote manne ambayo ni Matikiti Maji, Karoti, Uyoga na Matango.\n"
maelezoyaubora: ''
maelezoyakuipata: 'Ili kupata jarida hili unatakiwa ujaze fomu ya oda hapo chini ili kuweka oda yako ya kutumiwa hili jarida lililoko kwenye mfumo wa pdf kwenye email yako. Hakikisha unaweka namba ya simu na Email sahii ili tuwasiliane na kujua jinsi ya kukutumia'