picha: 'file:vitunguu-hoho-bamia/VITUNGUU-HOHO-BAMIA.jpg'
beikamili: '6,500'
beiyaofa: '1,000'
maelezoyabidhaa: "Ni jarida linalotoa elimu ya Kilimo Cha vitunguu maji, vitunguu twaumu (swaumu), hoho na bamia. Kipo katika Mfumo wa PDF (Soft copy).\n\n\n\nJarida hili linaelekeza jinsi ya kulima bamia, vitunguu maji, vitunguu twaumu na hoho kuanzia hali ya hewa inayohitajika, udongo, upandaji, utunzaji, magonjwa na wadudu pamoja na uvunaji. Kwa hiyo utajifunza kilimo cha mazao hayo yote manne ambayo ni bamia, vitunguu maji, vitunguu twaumu na hoho."
maelezoyaubora: 'Kina Mazao manne (4)'
maelezoyakuipata: 'Ili kupata jarida hili unatakiwa ujaze fomu ya oda hapo chini ili kuweka oda yako ya kutumiwa hili jarida lililoko kwenye mfumo wa pdf kwenye email yako. Hakikisha unaweka namba ya simu na Email sahii ili tuwasiliane na kujua jinsi ya kukutumia.'