Kuhusu Ackyshine charity
Melkisedeck%20Leon%20Shine
Melkisedeck Leon Shine

Ackyshine charity ni kampeni na huduma za kiutu zinazotolewa ndani ya Ackyshine.com

AckySHINE Charity inaletwa kwenu na Melkisedeck Leon Shine aliye mwanzilishi. Tangu 2011 hadi leo.

Lengo la huduma na kampeni hzi ni kudumisha utu na mshikamano katika jamii kwa manufaa ya kizazi hiki na kizazi kijacho.

Ackyshine charity kwa sasa inatoa huduma na kufanya kampeni zake online.

Huduma hizi hazifungamani wala hazilengi itikadi, nchi au jamii fulani. Huduma na kampeni hizi ni kwa watu wote kutoka nchi yoyote, kutoka jamii yoyote wenye itikadi yoyote.

Huduma na kampeni

Huduma na kampeni za sasa ni kama ifuatavyo;

Namna ya Kuwasiliana na AckySHINE Charity

Kutuma ujumbe kwa Ackyshine Charity, Tumia fomu hii:

Majina yako
Taasisi au Kampuni
Acha nafasi kama huna
Mahali ulipo
Email
Ujumbe wako

Tupo kwa ajili yako