Karibu AckySHINE.

Jisomee makala mpya za kila siku kuhusu ujasiriamali, mahusiano, afya, tekinolojia, dini n.k.

Burudika na vichekesho vipya vya kila saa, picha kali, bila kusahau videos bomba mpya za kila siku.

Pata huduma mbalimbali Kwenye Mtandao moja kwa moja kupitia eBook Shop, Maktaba, na huduma ya kutoa matangazo n.k

Kwenye Blog ya AckySHINE tunawakutanisha watu wanaotoa misaada mbalimbali kwa jamii hasa yatima, walemavu wasiojiweza na wazee, pamoja na Vituo vya kutolea Misaada.

Tunatoa nafasi kwa vituo vya kutoa msaada kwa jamii kutoa matangazo yao bure kwenye tovuti hii. Hatukusanyi michango yoyote bali tunatangaza vituo vya misaada.

Tunawezesha watoa misaada na wenye vituo kukutana.

Kama una kituo chochote cha kutoa msaada Jaza fomu hii ifuatayo kuweka tangazo lako la kituo hapa tulitangaze ili upate misaada. Tangazo lako litatangazwa bure.

Fomu ya Tangazo la kituo cha kutoa msaada.

Jina lako (majina)
Kituo au Taasisi
Andika jina la kituo.
Namba ya simu
Website au tovuti.
Andika link ya website ya kituo
Email
Eleza kuhusu kituo chako


Tukishapokea Fomu hii tutatengeneza tangazo litakalotangazwa kwenye tovuti hii bure..