Mnara wa Babeli

Tumsifu Yesu Kristu…

Karibu tena katika Website yako uipendayo ya Wakatoliki yenye mambo mengi kuhusu Imani na Mafundisho ya Kikatoliki. Kama una wasiwasi kuhusu Imani ya Kanisa Katoliki nimekuandalia makala maalumu ya kukufunulia Ukweli hapa>>.

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandikia makala nzuri inayopendwa kuhusu; Maana ya Kumuamini Mungu, kwa sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Mnara wa Babeli.

Unaweza pia kupokea makala zote mpya zinazopostiwa hapa kwenye email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo.

Endelea kuelimika na kubarikiwa kila siku unapotembelea tovuti hii.

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Wokovu unapatikana wapi?

Mnara wa Babeli

By, Melkisedeck Shine.

Mwanzo 11:1-9

1 Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.

2 Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko.

3 Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.

4 Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa nchi yote.

5 Bwana akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.

6 Bwana akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya.

7 Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.

8 Basi Bwana akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji.

9 Kwa sababu hiyo jina lake likaitwa Babeli; maana hapo ndipo Bwana alipoichafua lugha ya dunia yote; na kutoka huko Bwana akawatawanya waende usoni pa nchi yote.

Usisahau kulike na kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Mnara wa Babeli. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Kumtafuta Mungu ni jukumu la mtu binafsi na nafsi yake. Huwezi kumfuata Mungu kwa kufwata njia ya wengine. Njia yako ya kukuwezesha kumfikia Mungu ni tofauti na wengine, Kwa maana Mungu amemwita kila mtu kwa namna ya kipekee."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Tofauti kati ya Ibada, Sadaka na Sala/maombi
Tofauti kati ya Ibada, Sadaka na Sala/maombi ni kama Ifuatavyo;.. soma zaidi
a.gif Somo la Leo
Jumapili ya 32 ya mwaka.. soma zaidi
a.gif UZURI NA WITO WA MAISHA YA NDOA NA FAMILIYA
Katika ulimwengu wa leo tunashuhudia changamoto nyingi za ndoa zinazoleta hisia hasi za vijana na wale ambao hawajajifungamanisha na fumbo hili takatifu. Ni wazi changamoto zipo lakini haziwezi kufifisha au kuondoa uzuri na utakatifu wa maisha ya ndoa na familiya… soma zaidi
a.gif MPYA: Masomo Ya Ibada Ya Misa Kanisani Leo, Kwa Jumapili na Siku za Juma
Msomaji wangu, Ninakuhimiza Kuhudhuria na kushiriki Ibaada ya Misa Kila Mara kadiri uwezavyo… soma zaidi
a.gif Somo la Leo Sikukuu Mtakatifu Simoni na Yuda Mtume
Leo ni sikuku ya Simoni na Yuda mitume… soma zaidi
a.gif MAANA YA SALA KWA MKRISTO
Sala ni kuinua mioyo yetu kwa Mungu na kuongea nae. Watu wote wanapaswa kusali, wema na wabaya. Inatupasa kusali kila siku bila kukata tama kwa ibada, kwa matumaini na kwa saburi. Kama mfano Yesu Alitufundisha sala ya Baba yetu.
Yatupasa kuwaombea wengine, watu wote wenye shida wakosefu na hata maadui zetu, vilevile tumtolee Mungu shukrani kila wakati na hasa kwa kuadhimisha Ekaristi Takatifu… soma zaidi
a.gif Maana ndefu ya Ishara ya msalaba
_Ishara ya msalaba ina maana ndefu sana!_.. soma zaidi
a.gif Chagua kunyamaza: Huu ni ushauri kwa Leo
MITHALI 11:12 Asiye na akili humdharau mwenziwe; Bali mtu aliye na ufahamu hunyamaza… soma zaidi
a.gif Usipite bila kusoma kisa hiki cha kusisimua
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa iliyoambatana na radi ikaanza kunyesha. Dereva hakuogopa, wala abiria, wakaendelea na safari. Mara wakati wanaenda, radi ikaanza kufuatilia gari. Kila wakienda, radi inapiga karibu na basi kana kwamba inalifuata basi. Likisimama, radi inapiga pembezoni mwa basi… soma zaidi
a.gif Biblia inavyomshauri mwanaume Kuhusu mke wake
Mpende mke wako mzuri
Usimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae. Inamuumiza sana.
Mithali 15:1.. soma zaidi
a.gif Zawadi ya Kipekee kwa mtu
Kuna Zawadi moja ya Kipekee ya kumpa mtu ambayo ni.. soma zaidi

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Mnara wa Babeli, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

β€’ Tafakari ya leo ya Katoliki kuhusu, Umoja, isome hapa

β€’ Wakati sahihi wa kumuomba Mungu akupe Mume/Mke, isome hapa

β€’ Mambo yanayoweza kusababisha sala au maombi yako yasijibiwe, isome hapa

β€’ Tofauti kati ya Ibada, Sadaka na Sala/maombi, isome hapa

β€’ Somo la Leo, isome hapa

β€’ UZURI NA WITO WA MAISHA YA NDOA NA FAMILIYA, isome hapa

β€’ MPYA: Masomo Ya Ibada Ya Misa Kanisani Leo, Kwa Jumapili na Siku za Juma, isome hapa

β€’ Somo la Leo Sikukuu Mtakatifu Simoni na Yuda Mtume, isome hapa

β€’ Masomo Ya Leo, isome hapa

β€’ Tafakari ya neno la Mungu Luka 16, isome hapa

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Mnara wa Babeli, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Nimeonja pendo lako
Mtakatifu-Gemma-Galgani.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Gemma Galgani.
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Gemma Galgani hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

SHINE-MELKISEDECK.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Upendo na ubinafsi. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!