Kisa cha Noa na Wanawe

Tumsifu Yesu Kristu…

Karibu tena katika Website yako uipendayo ya Wakatoliki yenye mambo mengi kuhusu Imani na Mafundisho ya Kikatoliki. Kama una wasiwasi kuhusu Imani ya Kanisa Katoliki nimekuandalia makala maalumu ya kukufunulia Ukweli hapa>>.

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandikia makala nzuri inayopendwa kuhusu; Kanuni ya Mungu kuhusu mema, kwa sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Kisa cha Noa na Wanawe.

Unaweza pia kupokea makala zote mpya zinazopostiwa hapa kwenye email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo.

Endelea kuelimika na kubarikiwa kila siku unapotembelea tovuti hii.

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Je, Biblia zote ni sawa?

Kisa cha Noa na Wanawe

By, Melkisedeck Shine.

Mwanzo 9

18 Wana wa Nuhu waliotoka katika safina, ni Shemu, na Hamu, na Yafethi; na Hamu ndiye baba wa Kanaani.

19 Hawa watatu walikuwa wana wa Nuhu na kwa hao nchi yote ikaenea watu.

20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;

21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.

22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.

23 Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.

24 Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.

25 Akasema,

26 Akasema,

27 Mungu akamnafisishe Yafethi.

28 Na Nuhu akaishi baada ya ile gharika miaka mia tatu na hamsini.

29 Siku zote za Nuhu zilikuwa miaka mia kenda na hamsini, akafa.

Usisahau kulike na kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Kisa cha Noa na Wanawe. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Uhuru Na Amani Ya Moyoni hupatikana kwa kusali wala sio kwa kusoma vitabu na kujua sana Mambo mengi."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Sababu za gharika, Gharika na Agano la Mungu Na Noa
1 Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,.. soma zaidi
a.gif Waliozaliwa kutoka Adamu hadi Noa
1 Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya;.. soma zaidi
a.gif Kaini na Abeli
1 Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto mwanamume kwa Bwana… soma zaidi
a.gif Adamu na Eva Walivyotenda dhambi
1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia Eva, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?.. soma zaidi
a.gif Siku Sita za Mungu kuumba Dunia
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi… soma zaidi
a.gif Mambo makubwa yanayosababisha ndoa nyingi kuvunjika
Zifuatazo ni sababu kubwa za msingi zinzozifanya ndoa nyingi za kizazi cha Leo kuvunjika haraka na kukosa kudumu.. soma zaidi
a.gif Asili na matumizi ya Neno "AMINA" kama kiitikio muhimu katika Liturujia
Kiitikio hicho tunakifahamu sisi sote; tunaitikia mara nyingi lakini je, tunaelewa umuhimu wake? Binafsi nikichunguza wakati wa maadhimisho mbalimbali ya Liturujia hasa Adhimisho la Ekaristi, ni baadhi tu ya waamini wanaoitikiaAmina sehemu mbalimbali wakati wa Misa. Waamini wengine huitikia  kwa sauti  ya kuungama dhambi na wengine hawaitikii kabisa… soma zaidi
a.gif Umakini katika kuwaza
Kuwa makini sana na mawazo yako, Yanaweza kukupeleka Mbinguni au motoni… soma zaidi
a.gif Somo la Leo
Jumapili ya 32 ya mwaka.. soma zaidi
a.gif Ajali mbaya kuliko zote duniani Kiroho
Hizi ndio ajali mbaya kuliko zote hapa Duniani, japo wengi huziona za kawaida tu, omba usikutane nazo kabisa!.. soma zaidi
a.gif Kaini na Abeli
1 Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto mwanamume kwa Bwana… soma zaidi
a.gif TAFAKARI YA MAISHA: Vile unavyobariki, ndivyo unavyobarikiwa
Kiwango cha majukumu uliyonayo kinaamua kiwango cha baraka zinazofuatana na wewe… soma zaidi

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Kisa cha Noa na Wanawe, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

β€’ Je, siku ya Ijumaa kuu Wakatoliki wanaabudu Msalaba?, isome hapa

β€’ Tupendane, isome hapa

β€’ Mtakatifu Karoli Lwanga, isome hapa

β€’ Tafakari ya Zaburi 127:1-2, isome hapa

β€’ Tafakari ya leo ya Katoliki kuhusu Bikira Maria Mama wa Wakristu Wote, isome hapa

β€’ Tafakari ya leo ya Katoliki kuhusu Mawazo na Mipango ya Mungu kwa mtu, isome hapa

β€’ Nafasi ya Mateso katika maisha, isome hapa

β€’ Ahadi kumi na mbili za Moyo Mtakatfu wa Yesu, isome hapa

β€’ MIUJIZA NA MATOKEO YA MUNGU NA WATAKATIFU, isome hapa

β€’ KATOLIKI MASWALI NA MAJIBU, isome hapa

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Kisa cha Noa na Wanawe, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Haleluya
[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Tunakushukuru Mama Maria
Mtakatifu-Fransisko-wa-Sales.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Fransisko wa Sales.
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Fransisko wa Sales hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

IMG_20180109_191129.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Mnyororo wa Baraka za Mungu. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!