98
awesome-smiley-emoticon.gif

.

.

images-20.jpeg

"Ukiweza kutumia vizuri kipaji au uwezo mdogo ulionao itakufanya uwe bora na mwenye sifa nzuri kuliko yule mwenye uwezo mkubwa.."

.

.

images-11.jpeg

"Amini kuwa unashinda na wewe utashinda. Hata vita wanashinda wale wanaoamini katika ushindi. Kutokujiamini ni sawa na kushindwa tayari."

.

.

MELKISEDECK-SUA.jpg

"Inapendeza kweli mke na Mume kusaidiana. Kusaidiana ni Kushirikiana lakini kugawana majukumu ni kupeana mzigo.."

.

.

IMG_20170703_130916.jpg

"Kama vile moto unavyozimwa na maji ndivyo vivyo hivyo hasira inamalizwa na maneno ya upole.,"

.

.

Habari msomaji wangu…?

images-23.jpeg
Melkisedeck Leon Shine

"Kujaribu kufanya jambo kubwa la kipekee ni kushinda hata kama halijafanikiwa."

Jina langu ni Melkisedeck Leon Shine Mwendeshaji wa blog hii.

images-9.jpeg

"Uwezo wa kuwa makini katika jambo bila kuyumbishwa na kitu chochote ni ishara kuu ya mtu mwenye akili na mwenye mafanikio."

Usisite kuniandikia maoni,mapendekezo au maswali hapa kuhusu Blog hii kwa ujumla

Jina
Mahali ulipo
Mfano Mkoa, Wilaya n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako

MELKISEDECK-LEON.jpg

"Ukiweza kutumia vizuri kipaji au uwezo mdogo ulionao itakufanya uwe bora na mwenye sifa nzuri kuliko yule mwenye uwezo mkubwa.."

KUHUSU BLOG HII | MAWASILIANO | ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES