.

Melkisedek Leon Shine Blog

Recent posts posted by me

My Pictures

dancing-rose.gif A special moment at Bazezane Hostel July 2016

See pictures from this gallery>>


dancing-rose.gif My picture Jan 2014

See pictures from this gallery>>


dancing-rose.gif My pictures 2009 & September 2013

See pictures from this gallery>>


dancing-rose.gif On Beautiful flowers

See pictures from this gallery>>


dancing-rose.gif My Young Sister Clara (Gift)

See pictures from this gallery>>


.

.

.

.

Posti nyingine

A Kauzu zaidi ya dagaa!

Mtoto:Baba nitumie pesa ya matumizi huku shuleni hali ni mbaya sana la sivyo najinyonga.
Baba: Huku nyumbani hali ni mbaya kuliko huko shuleni kwahiyo kama unajinyonga utapunguza Bajeti, kopa Kamba dukani kwa Mangi nitalipa nikija kuchukua Maiti yako, Mungu akulaze mahali pema peponi Mwanangu…..

soma zaidi kuhusu Kauzu zaidi ya dagaa!

A Kweli shilingi yaua, Huyu jamaa kapatikana, angalia anachomjibu mke wake,

Jamaa alikuwa anagombana na mkewe,hatimae
akamwambia kwa ukali
"Unajua nimechoka sasa, haya kusanya nguo
zako na……..

soma zaidi kuhusu Kweli shilingi yaua, Huyu jamaa kapatikana, angalia anachomjibu mke wake,

A Wakubwa nisaidieni!!

πŸ‘‡πŸ‘‡ Wakubwa nisahidieni.

πŸ‘‰ Sio kila EX ni EXPIRED, EX zingine ni EXAMPLE:
Utanielewa tu.
Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi
wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA na
Muogope sana EX wa Mmeo kabla HAJAKUOA
kuliko hata hawa Vidume na Vijike vinavyomtaka
akiwa tayari amevaa pete.
I will tell you WHY!
Kuna watu walipendana sana lakini hao
waliowapenda kwa moyo hawakuoa kutokana na
Situations fulani mwanamke akalazimika aolewe
na kijamaa fulani tu ambacho kilikuja na sera
ambazo 'wanawake wanapenda' na kako vizuri
financially ikabidi huyu mwanamke aachane na
'Tulizo lake la moyo' kidemokrasia tu aolewe na
wewe.
It doesnt matter how lakini hawa watu wawili
walioachana kidemokrasia "Bado wanapendana
deep down" na hata ukifanikiwa kumuoa,
ukamhamisha mkoa wasionane, Ukambadilishia
namba za Simu wasiwasiliane tena, Itapita miaka
hata 6 hawajatiana machoni ipo siku watakutana
Kariakoo kwenye shopping, zile cheche na hamu
na mapigo ya moyo yataruka upya, na kifuatacho
ITV kitakuwa Isidingo Mapenzi yao hayakufa.
Pete haizuii kitu watajikuta wamefanya yao tena
kwa huba zito la kumisiana kwa hali ya juu, wewe
ukidhani Pete pekee itamlinda, kumbe waapiii, na
huo ndio utakuwa mwanzo wa hawa watu wawili
kuwa na Reunion kabambe ya Kulegeza Chaga,
wewe umeoa ?
Mahari mwenzio anapiga Bureee bila Mshenga.
Kama nadanganya Wanandoa waje na waseme
hapahapa.
Ndoa ni Complicated kuliko Hesabu za Logarithm
na Integration, Ndoa ni Fumbo na walioweza
kulifumbua ni wachache sana kwa msaada wa
Mungu, ila Wengi wanadhani wamelifumbua
Fumbo kumbe wametegwa na hawajui mtego
ulipo.
Ndoa needs God na watu wenye hofu ya Mungu
otherwise "UTAOLEA JIJI"

soma zaidi kuhusu Wakubwa nisaidieni!!

A Kompyuta

Kompyuta ni mashine ya elektroniki inayotumika au kushughulika na taarifa, kama unavyotumia kisu na
patasi kwa kuchongea vinyago vya miti, unatumia kompyuta kuandaa nyaraka, barua, michoro n.k. Kimsingi
unaweza kutumia kompyuta kwa kazi mbalimbali

soma zaidi kuhusu Kompyuta

A Elimu Kuhusu Madawa ya Kulevya, Mambo ya Msingi kujua Kuhusu dawa za Kulevya

Madawa ya kulevya ni aina ya madawa au vilevi ambapo mtumiaji akishatumia mfumo wa mwili na akili yake hubadilika. Mtumiaji huweza kudhoofika kimwili au kupata madhara ya kiakili na baadhi huweza hata KUFA.

soma zaidi kuhusu Elimu Kuhusu Madawa ya Kulevya, Mambo ya Msingi kujua Kuhusu dawa za Kulevya

A Nilichomfanyia huyu aliyenizingua nilipomuazimisha pasi

πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Jana nimeenda kuazima pasi chumba jirani, ili ninyooshe nguo zangu, Jamaa wakaniambia nichukue nguo nikanyooshe room kwao maana hawataki pasi yao itoke.
Sasa leo amekuja mmoja wao kuazima mopper akasafishe room, nimemwambia aje adekie humu humu…

soma zaidi kuhusu Nilichomfanyia huyu aliyenizingua nilipomuazimisha pasi

A Mapishi ya mboga ya mnavu

Mnavu mkono 1
Kitungu 1
Karoti 2
Maziwa kikombe 1
Mafuta vijiko viubwa 4
Karanga zilizosagwa kikombe 1
Chumvi kiasi Β½

soma zaidi kuhusu Mapishi ya mboga ya mnavu

A Heart touching story

<HEART TOUCHING STORY>
.
A boy and a girl Loved each other very much.
Unfortunately the Girl Died..
The Boy was So Upset and he couldn’t Stop his
Tears.
.
He kept on Crying Day and Night.. Many People
gave him Sympathy,
but no Argument could Stop His Tears.
.
One Night He Slept and had a Dream;
.
He saw the Girl in Heaven with so many Girls of
Her age.
He felt Relaxed.. But He Noticed that every Girl
was in Fairy Dress;
and had a Lightened Candle in their Hands, but
his GF had a Candle which was not.Lightened..!
.
He asked Her:
β€œWhy is Your Candle not Lightened?” She Replied:
β€œWhenever I lighten My Candle;
Your Tears fall on it..!
Please Stop Crying…
.
PRAYER !! !! !!
.
TODAY I PROPHECIES THAT YOU WILL NEVER
LOOSE ANYONE YOU LOVE ON EARTH
PREMATURELY.
.

soma zaidi kuhusu Heart touching story

A Huyu Jamaa kawaeeza polisi kweli

Et jamaa kawekwa jela kwa kosa la kupoteza mamiilion.ya kampun akiwa gerezan babayake alituma barua
Ikisema yan.mwanangu tumapata shida maana shamba halijalimwa na jatujii litalimwaje na msimu ndio huo nataman.ungekuwepo ningepata msaada wa kulimiwa hili shamba

soma zaidi kuhusu Huyu Jamaa kawaeeza polisi kweli

A STORY The price of kindness

A poor boy who was begging from door to door
to feed his hungry stomach, decided he would
ask for a meal at next house. However, at the
next house he lost his nerve when a lovely young
girl opened the door. So instead of a meal, he
asked for a glass of water.
The girl thought, he looked hungry. So, she
brought him a large glass of milk. He drank it
slowly, & asked thereafter : 'how much do I owe
you for this ? You don't owe me anything, she
replied. Mother has taught us never to accept
pay for kindness. He said, then I thank you from
the bottom of my heart.
Years later, that girl (now a woman) became
critically ill, and the local doctors tried their
possible best to save her life but they couldn't
cure her. They finally sent her to the big city
where specialists studied her rare illness. Dr.
Kelly was called in for the consultation, when he
heard the name of the town where she came
from, a strange light filled his eyes.
Immediately, he rose & went down the hall of
the hospital to her room. He recognised her at
once. He went back to the consultation room
determined to do his best to save her life.
From that day, he gave special attention to
that case. After a long struggle, the battle
was won and the woman was cured. Dr. Kelly
requested the business office to pass her final
bill to him for approval. He looked at it, then
wrote something on the bill and It was sent to
her room.
The woman feared opening it cos she was sure it
might take the rest of her life savings to pay
for it . Finally she looked at it and noticed
something was written at the edge of the note,
'Paid In Full With a Glass of Milk'. Tears filled
her eyes as she immediately remembered.
Every form of kindness you show is never in
vain, it reproduces itself. Well, not necessarily
before your eyes, but it always does. I've been
kind to you by sharing this story. And U be kind
to share it with others.
Its good to be good. Always be nice: It will
come back to you.*

soma zaidi kuhusu STORY The price of kindness

A Cheka kidogo, angalia anachosema huyu mchaga

Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho: Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbinguni na kushoto ni Jehanamu, Je unachagua kwenda wapi?

soma zaidi kuhusu Cheka kidogo, angalia anachosema huyu mchaga

A Balance Sheet of life

Birth is your
Opening Stock.

What comes to you
is
Credit.

What goes from you
is
Debit.

soma zaidi kuhusu Balance Sheet of life
big-hug-smiley-face.gif

Posti za sasa

A Where will this corruption end?

School Group Photo : Headmaster to Photographer ksh.20 is too much. There are 2000 students, Charge Only ksh.10 its sufficient!!

soma zaidi kuhusu Where will this corruption end?

A Jinsi ya kupika Keki Ya Maboga

Unga wa ngano vikombe vikubwa 3
Boga lililopondwa kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Sukari kikombe kikubwa 1
Blue band kikombe Β½
Vanilla kijiko kidogo 1
Mayai 2
Maji kiasi/ maziwa
(kama nilazima)

soma zaidi kuhusu Jinsi ya kupika Keki Ya Maboga

A Sababu za Magonjwa ya Figo na jinsi ya kujikinga

*SABABU ZA MAGOJWA YA FIGO. JIHADHARI NA ONYEKA!.*
Raia wa Ghana wanazidi kufa kwa matokeo ya ugonjwa wa Figo.
*JINSI YA KUONDOKANA NA JANGA HATARI LA UGONJWA WA FIGO:*
*1.Usichelewe kwenda HAJA.* Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.
Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha maambukizi ya figo, pia njia ya mkojo na "nephritis", pamoja na "uremia". Wakati wito asili (unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo.
*2. Kula Chumvi kupita kiasi.* Inatupasa kula Chumvi isiyozidi 5.8 gramu kwa siku.
*3. Kula nyama kupita kiasi.*
Protini ikizidi sana katika mlo wako inadhuru figo zako. Mmeng'enyo wa Protini unazalisha amonia- sumu dutu ambayo ina uharibifu mkubwa kwa figo zako. Nyama nyingi inaleta uharibifu zaidi wa figo.
4. *Unywaji mwingi wa "Caffeins".*
Caffein hutokana na vinywaji vya Soda na vinywaji vingine laini kama Kahawa, Redblue n.k. Hupandisha shinikizo la damu na figo zako kuanza mateso. Unapaswa kupunguza kiwango cha Coke, Pepsi, Red Bull, nk ambavyo hunywa kila siku.
*5. Kutokunywa maji.*
Figo zetu lazima zichakatwe vizuri kutekeleza majukumu yake vizuri. Endapo hatunywi ya kutosha, sumu dutu inaweza kuanza kukusanyika katika damu, kama hakuna kimiminika cha kutosha kutoa kwa njia ya figo. *** Kunywa zaidi ya bilauri 10 za maji kila siku.
Kuna njia rahisi ya kuangalia kama unakunywa maji ya kutosha: Angalia rangi ya mkojo wako; Wepesi wa rangi, ndiyo vzuri.
*6. Kuchelewa matibabu.*
Tibu matatizo yako yote ya kiafya kwa uhakika na uwe unachunguza afya yako mara kwa mara. Wapendwa na wapenzi wangu, hebu tujisaidie wenyewe… Shirikisha wengine, kama unajali. ----
*Pia epuka vidonge hivi, ni hatari sana:*
D- baridi*
Vicks Action- 500*
Actified*
Coldarin*
Cosome*
Nice*
Nimulid*
Cetrizet- D
Hivi vidonge vina Phenyl propanol- amide PPA ambayo husababisha stroke na ni marufuku Marekani.
MWISHO… Tafadhali, kabla ya kufuta, msaidie rafiki yako kwa kumpitishia hii..!
*Inaweza kumsaidia mtu!*
Wasambazie wengi kwa kadiri uwezavyo.
Shirikisha ujumbe huu kwa mpendwa wako.
*Maonyo muhimu ya Afya*
1. Jibu (pokea) simu wito na sikio la kushoto.
2. Usinywe dawa zako kwa maji baridi….
3. Usile milo mizito baada ya saa 11 jioni.
4. Kunywa maji vuguvugu mengi asubuhi na kiasi usiku. Usinywe maji baridi kamwe.
5. Muda bora wa kulala ni kutoka saa 4 usiku hadi saa 10 Alfajiri.
6. Usilale mapema baada ya kumeza dawa au baada ya mlo. Usiku, Kula chakula laini.
7. Usipokee simu yako ikiwa haina chaji. Wakati huo mionzi huwa ina nguvu mara 1000 .
Je, unaweza kuwasambazia watu unao wajali?
Mimi nimeshafanya kwako….!!.

soma zaidi kuhusu Sababu za Magonjwa ya Figo na jinsi ya kujikinga

A Angalia jinsi muda wako unavyopotea

Kila mtu ambaye ni hai amepewa muda Wa masaa 24 kila siku,168 kwa wiki,672 kwa mwezi,8064 kwa miezi 12 au kwa mwaka.

soma zaidi kuhusu Angalia jinsi muda wako unavyopotea

A Jamaa safarini, gari likamharibikia kijijini akaomba hifadhi akakaribishwa, baada ya kuoga na kula ikawa hivi...!!

MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?"
MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi."
jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
JAMAA:"msipate tabu mi ntalala hapa kwenye kochi" akalala
asubh wanakunywa chai akaibuka mrembo,jamaa akapigwa bumbuwazi almanusra ajimwagie chai.
BINTI:"Naitwa BEBI,we unaitwa nani?"
Jamaa akasema mimi naitwa Fara…..!

soma zaidi kuhusu Jamaa safarini, gari likamharibikia kijijini akaomba hifadhi akakaribishwa, baada ya kuoga na kula ikawa hivi...!!

A Ways to overcome public anxiety

Erase The Preconceived Notions People typically associate the task of public speaking with stress! This is absolutely untrue! Public speaking is only stressful if you allow it to be! Ironically, if you shake off this incorrect belief, public speaking can be a very enjoyable and invigorating experience for you. Try to dig out the hidden cause for your fear, diagnose it and say hello to a new fun hobby! Knock off the fear of public humiliation! You're overreacting! It's purely psychological. Stage fright can be curbed with a smooth build up of self-confidence. The best way to start that process is by facing reality and accepting that public speaking is not as difficult as you once thought! Capitalize On Three Good Points Stumble upon three relevant points and you're ready to nail it. In other words, you have good potential to set the stage on fire! Maintain a calm and composed demeanor! You don't have to be the funniest or smartest orator on the planet to receive a round of applause. Even if you make a couple of mistakes, skip a few important portions of your speech and pause for a minute, you haven't necessarily failed! Stop focusing so much on your performance, it's the value of the content effused that matters most. As long as audiences have something valuable to take back home (or with a smile on their faces), you will be remembered positively. Bear in mind that heaps of inconsequential facts does not augment your orator status. Stick to two or three clever points and render your speech interesting and genuine. Stress on one key point if you strongly believe in it. Diminish the number of quick notes and let words flow straight from the heart to the tip of your tongue! Avoid silly complexities for you will end up boring the crowd. Prepare But Don't Over-Prepare Preparation is essential. More importantly, prepare well in advance and not overnight for anxiety will double and the outcome will be messy. Practice does indeed make a man perfect but never overdo it. A speech turns superficial when planned too far ahead. It should be natural! In fact, the more effort you put into it, the worse might be your performance. So, don't over-prepare! Relax and take a deep breath! Just rehearse once and revise the key points along with a few good examples. Memorizing a speech verbatim only ruins the authenticity of a speech and implies that you don't have a firm grasp over the subject. Try not to script the speech! Gain self confidence and you will soon begin to respect the natural public speaker hidden deep down inside of you. Select A Topic That Interests You It will make all the difference if you chose a topic that you feel strongly passionate about! You will feel excited to research the topic and make the overall speech as interesting as possible. As you immerse your heart into it, you will notice your phobia slip away. Even when you have no choice but to resort to a lackluster topic, you could make alterations to the technique or approach of speech making. For example, make a colorful PowerPoint presentation or screen a funny video! The surging enthusiasm will tranquilize the goosebumps. Be Humble, If Not Humorous While adding a glint of humor to your speech would earn you brownie points, it's not mandatory. It is important to discover your style of speaking and work on improving that. However, it is important to maintain a fine sense of humility throughout your speech. When you stand up in front of the masses, share some of your weaknesses and frailties. This highlights your image as a credible, respectable and lovable speaker. Audiences will be able to connect with you and respect your honesty. If at all, humility isn't your style, don't feign it! The pretense of acting humble is easily detectable and this will trample your image in no time! You could hence make up for it by capitalizing on your good sense of humor! After all, who doesn't enjoy a good hearty laugh! Start with a joke or narrate a bunch of anecdotes, just don't digress from the actual topic. Don't Let Hecklers Get To You! Hecklers are all over the place and most of the time, they do a pretty good job at tormenting speech makers! However, it is in your best interest that you master the art of turning a deaf ear to such obstacles or counter-attack their witty statements with a wittier one. This most definitely helps you overcome all fears. But if you are still battling with glossophobia, then you should try your best and ignore those silly sadists or respond with an "I really appreciate your comment". Visualize Success Elite athletes rely on the technique of visualization to enhance their athletic performance. Every time you rehearse your speech, visualize your audience being amazed by your oratory skills! It is best to believe in yourself and that you are conveying solution for a very strong ground-breaking problem. Hence, your audiences ought to be impressed. Hear the cacophony of thousand claps and "wows" every time you emphasize on the last sentence of your speech! Boost your confidence!

soma zaidi kuhusu Ways to overcome public anxiety

A Duh! Hiki nacho chombo cha moto?

_Sheria inasema kila anaetembea na chombo cha moto barabarani sharti awe na leseni._
_Sasa hawa wauza kahawa mbona wanatembea na chombo cha moto lakini hawakamatwi 😑._
_Hizi sheria zinapendelea._
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

soma zaidi kuhusu Duh! Hiki nacho chombo cha moto?

A Angalia huyu jamaa alivyomuweza huyu binti wa chuo

😁😁😁😁 .. TABU KUDATE NA MADEMU WA CHUO
Demu ; Baby Safari Hii Nataka Pale Hostel Niwafunike Mashoga Zangu Wote.
Jamaa ; Poa Sweetie Ondoa Shaka Nitakununulia #Turubai Utawafunika Wote…!!!
Demu: Mxiuuuuuuuu Lione Sura Kama Goti La mbuzi Na Namba yangu futa Nakublock Mpaka Sanduku la posta…!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nmecheka adi nmelazwa

soma zaidi kuhusu Angalia huyu jamaa alivyomuweza huyu binti wa chuo

A Nilichokifanya baada ya kualikwa na mchumba wangu kwao

Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisiende mikono mitupu

soma zaidi kuhusu Nilichokifanya baada ya kualikwa na mchumba wangu kwao
big-hug-smiley-face.gif