.

Pictures with my friends At Sokoine univercity 2014

.

.

Posti nyingine

A Bonge la kichekesho

Bakari ni house boy mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue.
Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine hivyo kuhisi kuna mchezo mchafu alihisi tu Bakari anahusika.
Ilikua ni bahati tu alimvizia na
kumbamba Bakari akichakachua wine, kwa kuwa mkewe alikua
anamtetea Bakari, ili kumthibitishia mkewe kuwa Bakari ndo culprit, boss alianza kwa kumuuliza Bakari maswali.
Siku hiyo Bakari alikua jikoni, boss na mkewe walikua sebuleni.

soma zaidi kuhusu Bonge la kichekesho

A Umeshawahi kufanya hili jaribio?

Figisu ya Leo. UMESHAWAHI KUFANYA HILI JARIBIO.?

kadri temperature inavyo ongezeka chura nae huwa ana increase temperature ya mwili wake..
pindi inapokaribia kufika boiling point yaani nyuzi 100 chura atashindwa kuongeza temperature ktk mwili wake na hapo ndipo atataka kutoka ktk maji hayo ya moto na yanayo endelea kuchemka..
kutokana na kutumia nguvu nyingi sana ktk kuongeza temperature ktk mwili wake,pindi anapotaka kuruka atashindwa na atakufa humo ndani ya chombo cha maji yanayochemka..
SWALI; NINI KIMEMUUA CHURA.!??
Najua utaniambia ni maji ya moto…
La hashaa.!
kilichomuua chura ni kushindwa kufanya maamuzi mapema ya kutoka katika chombo cha maji yanayochemka hali ya kuwa bado nguvu anazo..
FUNZO
Fanya maamuzi sahihi sasa kabla nguvu za kutaka kufanya changes hazijakuishia kama yaliyomkuta chura..
NOTE; Kuvumilia jambo usiloliweza ni sifa ya punda.
BADILIKA.

soma zaidi kuhusu Umeshawahi kufanya hili jaribio?

A Maisha ya Wasichana Wa facebook na instagram

MAISHA ya DADA zetu FACEBOOK na INSTAGRAM
Wiki ya kwanza
Status:"Location flani amazing"
"Having fun"
"I love my life"
"sijali mnayosema nafanya nachotaka"
BAADA YA MIEZI MIWILI
STATUS:"Binadamu wengi ni wasaliti"
"trust nobody"
"Na hili nalo litapita"
BAADA YA MIEZI SITA
Status:"Yesu wewe ndio rafiki wa kweli"
"Bwana ndiye mchungaji wangu"
BAADA YA MIEZI TISA NA KIDOGO
STATUS: "Nakupenda mwananguπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜€πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„

soma zaidi kuhusu Maisha ya Wasichana Wa facebook na instagram

A How to become smarter

Exercise Your Brain Just like you workout to build and strengthen your muscles, your brain, too, requires proper exercises to sharpen itself. Often, it is assumed to be a useless body part, but this is not true. As such, whenever you are engaging yourself in some activities, you are exercising your brain. Consider practicing activities, such as puzzles, crafts, reading, painting, gardening, and other recreational activities that will refresh and rejuvenate you and your mind, in particular. Read Quality Books Most of us love reading. But we often end up reading fiction, suspense, or romantic books. However, these books do not mentally stimulate us. So, if you really want to improve your thinking and writing skills, pick up books that force you to really focus. Read a classic novel that changes your perspective towards this world and exposes you to precise, elegant English. Do not feel shy to pick up new words and find their meanings. This, in turn, will make you smarter with a more comprehensive vocabulary. Make reading fun as well as useful. Avoid The Idiot Box What do we do after a long tiring working day? Pick up a bag of chips and a can of cola only to land up in front of the television. Though there is no problem with refreshing yourself while watching a reality or a talk show, it doesn't really put your mental capacity into use. Further, watching television continuously does not relax you, instead, it exhausts you. Hence, pick up a book or magazine when you want to relax. Or, switch off the idiot box when you have friends or acquaintances around and indulge in a conversation instead. Learn A Foreign Language Researches indicate that learning an unknown foreign language boosts brain power. Quite smart, indeed, right! Learning and understanding the foreign culture through the language induces your brain to implement its muscles. Identify Your Qualities All of us have had our share of several idols and dream jobs during childhood. A scientist, a social worker, an airhostess, a 40-wheel lorry driver, an astronaut, or even a rock star! But, in reality, how many of us are really able to convert our childhood dreams into a reality? Probably, just one out of hundred. That's because to move onto their paths, we need to understand the values, commitment, and endless efforts to meet the requirements and achieve our goals. However, this should not be mixed with our idols. For if we try to imitate our idols, we will only land up making a fool out of ourselves and not creating a niche amongst the rest. Hence, it is important to identify your qualities and be yourself rather than being others.

soma zaidi kuhusu How to become smarter

A Mapishi ya Wali Wa Kukaanga Kwa Kidari Cha Kuku (Chicken Breast) Wa Kukausha

Vipimo vya Wali:

Mchele 3 vikombe

*Maji ya kupikia 5 vikombe

*Kidonge cha supu 1

Samli 2 vijiko vya supu

Chumvi kiasi

Hiliki 3 chembe

Bay leaf 1

soma zaidi kuhusu Mapishi ya Wali Wa Kukaanga Kwa Kidari Cha Kuku (Chicken Breast) Wa Kukausha

A Dalili za mahusiano feki, mahusiano ya kichina

Ukitaka kujua Simu ya Kichina utajua tu jinsi ilivyo na makelele mengiiiii sana wakati wa kuita….Sasa ukitaka kujua relationship feki ya kichina utaona tu makelele yalivyo mengi kama ile simu…Watu hawatulii kwenye wall,mara I miss my baby,mara baby come back,mara baby this,ooh my man/Girl is special,mara picha …mi and my baby,full kujishaua..ukiona wall zenye hayo makelele asilimia 90 ni penzi la kichina na lazima lina double line.Relationship serious na Original hazina makeke wala mikelele mingi kama hiyo yako na milio mikubwa ya ajabu na vibration ambazo zinaweza kufyeka hata majani.TULIA,hatuhitaji kujua who is ur baby au umemmiss,ukimmiss mpigie simu hukooo! Ebooo!!!

soma zaidi kuhusu Dalili za mahusiano feki, mahusiano ya kichina

A Utayarishaji bora wa chakula

Β· Osha mikono yako kwa sabuni kabla na baada
ya kutayarisha chakula
Β· Tumia vyombo safi na sehemu safi kwa
kutayarisha na kula chakula
Β· Viporo vipashwe moto vizuri kabla ya kula
Β· Chemsha maji ya kunywa na kuyaacha jikoni
dakika kumi baada ya kuchemka

soma zaidi kuhusu Utayarishaji bora wa chakula

A Tofauti kati ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo

Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga. Binti wa Kizungu: Baby you look nice and fresh. Binti wa Kibongo: Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

soma zaidi kuhusu Tofauti kati ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo

A Cheki hizi simu za touch screen zinavyosumbua watu

Hizi touch screen zinavyosumbua watu
bidada kanunua cmu mpya Screen touch
Mdada: Bebi mambwo?
Jamaa: Poa nambie
Mdada: Vipw umelalwa?
Jamaa: Unasemaje?
Mdada: Nauliza umelwala?
Jamaa: Mhhhh! Cjalala baby hata ucngz
cna
Mdada: Mim menyew cjalwala kuma mijitu
inapiga kelelwe hapa nje kwetu hadi
inaboowa
Jamaa! Nin?
Mdada: kuna kelwele hapa nje ya numba
yetu usingizwi hakuna kabiswa
Jamaa: hahahaa pole baby
Mdada: Bwebi mbona unanichekwa sasa?
Jamaa: Jaribu kuandika vizuri hunny
Mdada: Hehehwehwe, cunajua cmu
mupya alafu sikirini tachi kila nikibinya
elufi hii inakunya na nyingine. Pwelo
bebwi wangu
Jamaa: Hahahaa haya dia usiku mwema
Mdada: Ulalwe swalama bweibi

soma zaidi kuhusu Cheki hizi simu za touch screen zinavyosumbua watu

A Life facts which I have discovered

When I woke up I was pondering about life, I discovered that:

soma zaidi kuhusu Life facts which I have discovered

A Mbinu kuu za Kilimo cha Mboga cha uhakika kwa mazao mazuri

Kitalu ni mahali ambapo miche huoteshwa na kutunzwa kabla ya kupandikizwa Kwenye bustani au shambani Kwenye mashimo. Mavuno mazuri ya kilimo cha mboga na matunda utategemea sana matunzo bora ya miche kuanzia hatua ya kitalu kwa sababu kitalu ni sehemu mama katika uzalishaji wa miche. Mkulima anapaswa awe mwangalifu katika kuchagua mahali pazuri pa kuweka kitalu. Pamoja na kuwa mwangalifu katika kuchagua eneo linalofaa vile vile mkulima afahamu mbinu za kutayarisha na kutunza miche Kwenye kitalu.

soma zaidi kuhusu Mbinu kuu za Kilimo cha Mboga cha uhakika kwa mazao mazuri

A Tahadhari

TAHADHARI. NIMEIKOPI MAHALI

soma zaidi kuhusu Tahadhari
dancing-guy-smiley-emoticon.gif

Posti za sasa

A Staili nyingine za michepuko ni shida

Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango, si akakuta mchepuko wake,
MKE: Unataka nini we mpumbavu?

soma zaidi kuhusu Staili nyingine za michepuko ni shida

A SMS boomba za mapenzi

Najiuliza kila leo hivi ni mimi tu kimeo katika dunia hii ya leo maana kila leo nayempata huishia kunipa ahadi kila leo, mpenzi kila siku waniaidi mara nitakupa leo mara kabla ya machweo, hivi ni lini utanipa jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika? Nakupenda mpenzi.

soma zaidi kuhusu SMS boomba za mapenzi

A Stori ya lily

[11:24, 18/02/2015] Grace Ngehula: fungue geti atakuja kukufungulia yeye,
[17:09, 02/02/2015] Lily .CPA: Tumejenga nyumba ya ghorofa basi ile naingia naongea na mlinzi kumbe yuko ghorofan ananiangalia atu mie sikumuona maaan niusiku na amekaa kwenye kono, badae ndio kaka akaniambia umeona anavyokuangalia yule kule juu, ndio nikamuona, alipoona nimemuona tu akarudi ndani
naingia seblen tu nae aanshuka ngazi, akanifanta akanikumbatia akasema nikupokeee hand bag, kisha twende dining kuna gift yako tukaenda hadi dining, nikakuta kuna keki, akamuita dada aandae sahani alete cha champagine, basi nikajikausha kama sio mie nikafutrahi ili awe na Amani, nikashangaa mbona hasira nilizoambiwa anazo sizioni tena basi tukakata keki tukala, akaniiimbia wote na kina dada na kaka wa mlangoni kisha wakasambaa, tukapanda juu kulala, ile nafika juu tu akaniambia nina gift yako ingine,, njoo tukae hapa tuongee kidog nikupatie zawad, tukae sebule ya juu, ambayo inatazamana na chumba chetu, niakmwambia nisubiri basi nakuja,
[17:10, 02/02/2015] Lily .CPA: Bas niliiingia ndani nikachkua simu nikamusms kelvin asinipigie maan nimefika nyumbani, hakujibu chochote kile, basi nilitoka nje nikaakaa seblen na tauro langu, mme wangu akasema mbona hukuniaga ulipoenda na sio kawaida yako??? Akasema mbona hukuniambia wakati huwa unaaga, nikamwambia mgonjwa alizidiwa nikachanganyikiwa akasmea
, KUWA MAKINI NA HAYO UNAYOTAKA KUYAFANYA, akanifata akaniambia nakupenda sana, jitahidi uniheshimu, usiniumize,niksema sawa, akaniambia, chukuwa zawadi yako pale kwenye kikabati cha vitabu nikaenda nikakuta simu nzuriiii ya HTC ONE rangi ya gold, Niliruka sanaaaa sana nikamkumbatia, akafurahi akaniambia basi anitie pale seblen sikujivunga nafuraha ya simu nikampaila kuna kitu alihisi, maana aliponitia tu akaniangalia usoni, mboo ililala, hakukojoa kabisa, akanitazma usoni akaniuliza unaenjoy nikasem yes, you? Aksem me too ila nashangaa kwanini mboo imelala, hasimami
[21:36, 02/02/2015] Lily .CPA: An airline introduced a special
package for business men. Buy your ticket and your wife travels free.
After great success, the
company sent letters to all the wives asking how their trips went.
All of them gave the same reply: " Which Trip??????"

soma zaidi kuhusu Stori ya lily

A Mtu aliyefanya kazi ngumu zaidi afunguka

*SIMULIZI YA KUSISIMUA*
πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ€”
*Mtu aliyefanya kazi ngumu zaidi afunguka*

soma zaidi kuhusu Mtu aliyefanya kazi ngumu zaidi afunguka

A Sipendi ujinga. Cheki nilichokifanya

Nimeingia chumban nikakuta panya wamekula dawa yangu ya minyoo, Na mimi nimechukua yakwao nikanywa. Sipendagi ujinga mm!!😏😏😏

soma zaidi kuhusu Sipendi ujinga. Cheki nilichokifanya

A SMS Mafua ndiyo hii

JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA?
Cheki hii hapa……..

"Mabo dugu yagu mziba? Bwada nasubuliwa sada na bafua baka dashindwa kuadika beseji do hayo dugu yagu.
Diobeeni dipone
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapana Chezea
Bafua

soma zaidi kuhusu SMS Mafua ndiyo hii

A Mlevi na muhudumu

MLEVI mmoja aliingia baa akavuta kiti na kukaa mhudumu akatokea kumsikiliza.
MHUDUMU: Nikusaidie nini?
MLEVI: Eeh! nipe bia ya baridi kisaha wasikilize wote waliokaa hapa, wape bia na wao maana sipendi kunywa pombe wengine wananiangalia
Akaja mhudumu wa jikoni "nikusaidie nini?"
MLEVI: Niletee supu kisha wasikilize wote waliokaa hapa na wao wape supu sipendi kunywa supu watu wananiangalia
Safari hii watu wakapiga makofi
Baadae akamuita mhudumu
MLEVI: Niandikie bili zangu kisha waandikie wote bili zao sipendi kulipa huku watu wananiangalia

soma zaidi kuhusu Mlevi na muhudumu

A How to develop ones Enterprising Tendencies?

At some point in an entrepreneurial career a person has to start developing experience and learning actively about what they do best and what they should learn to do better, and the sooner they start learning actively the sooner they start being enterprising.

soma zaidi kuhusu How to develop ones Enterprising Tendencies?

A Huyu mlinzi bwana

High school Flashback!!
.
Watchman : Amkeni muende morning preps.
Allan : Mimi ni mgonjwa.
Watchman : Unaumwa na nini hiyo?
Allan : Bionomial Nomenclature.
Watchman : Eeh, lala tu kijana. Hiyo kitu ni
mbaya. Imeuwa watu South Africa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

soma zaidi kuhusu Huyu mlinzi bwana

A How to become smarter

Exercise Your Brain Just like you workout to build and strengthen your muscles, your brain, too, requires proper exercises to sharpen itself. Often, it is assumed to be a useless body part, but this is not true. As such, whenever you are engaging yourself in some activities, you are exercising your brain. Consider practicing activities, such as puzzles, crafts, reading, painting, gardening, and other recreational activities that will refresh and rejuvenate you and your mind, in particular. Read Quality Books Most of us love reading. But we often end up reading fiction, suspense, or romantic books. However, these books do not mentally stimulate us. So, if you really want to improve your thinking and writing skills, pick up books that force you to really focus. Read a classic novel that changes your perspective towards this world and exposes you to precise, elegant English. Do not feel shy to pick up new words and find their meanings. This, in turn, will make you smarter with a more comprehensive vocabulary. Make reading fun as well as useful. Avoid The Idiot Box What do we do after a long tiring working day? Pick up a bag of chips and a can of cola only to land up in front of the television. Though there is no problem with refreshing yourself while watching a reality or a talk show, it doesn't really put your mental capacity into use. Further, watching television continuously does not relax you, instead, it exhausts you. Hence, pick up a book or magazine when you want to relax. Or, switch off the idiot box when you have friends or acquaintances around and indulge in a conversation instead. Learn A Foreign Language Researches indicate that learning an unknown foreign language boosts brain power. Quite smart, indeed, right! Learning and understanding the foreign culture through the language induces your brain to implement its muscles. Identify Your Qualities All of us have had our share of several idols and dream jobs during childhood. A scientist, a social worker, an airhostess, a 40-wheel lorry driver, an astronaut, or even a rock star! But, in reality, how many of us are really able to convert our childhood dreams into a reality? Probably, just one out of hundred. That's because to move onto their paths, we need to understand the values, commitment, and endless efforts to meet the requirements and achieve our goals. However, this should not be mixed with our idols. For if we try to imitate our idols, we will only land up making a fool out of ourselves and not creating a niche amongst the rest. Hence, it is important to identify your qualities and be yourself rather than being others.

soma zaidi kuhusu How to become smarter
pink-kitty-purring-hug-smiley-emoticon.gif