.

My Young Sister Clara (Gift)

Rest in peace my Dearest

.

.

Posti nyingine

A Utoto raha..!

Leo nimepulizia Air Fresh yenye Harufu ya Pilau nyumbani kwangu sasa watoto wa Jirani wamehamia Mlangoni kwangu ndio wanacheza hapo. Kila nikitoka wananisalimia. Mama yao ndio kanimaliza kabisa nimetoka akaniambia
"Kumbe wewe ni Mpishi mzuri, Hongera"

soma zaidi kuhusu Utoto raha..!

A Ishara 10 za mwanamke aliyekuzimia na anayekupanda

Ishara hizi zinaweza zikakusaidia kumgundua msichana anayekupenda, wasichana wanatofautiana ila wengi wao wana-share ishara tofauti. Mwanamke anayekupenda hatakosa kati ya hizi

soma zaidi kuhusu Ishara 10 za mwanamke aliyekuzimia na anayekupanda

A Interesting story for new year

Ezra and Thomas joined a company together a few months after their graduation from university.

After a few years of work, their Manager promoted Ezra to a position of Senior Sales Manager, but Thomas remained in his entry level Junior Sales Officer position.

Thomas developed a sense of jealousy and disgruntlement, but continued working anyway.

One day Thomas felt that he could not work with Ezra anymore.

He wrote his resignation letter, but before he submitted it to the Manager, he complained that Management did not value hard working staff, but only promoted only the favoured!

The Manager knew that Ezra worked very hard for the years he had spent at the company; even harder than Thomas and therefore he deserved the promotion.

So in order to help Thomas to realize this, the Manager gave Thomas a task.

β€œGo and find out if anyone is selling water melons in town?”

Thomas returned and said, "yes there is someone!"

The Manager asked, "how much per kg?"

Thomas drove back to town to ask and then returned to inform the Manager; "they are 13.50 per kg!"

The Manager told Thomas,

"I will give Ezra the same task that I gave you. Please pay close attention to his response!"

So the Manager said to Ezra, in the presence of Thomas;

β€œGo and find out if anyone is selling water melons in town?”

Ezra went to find out and on his return he said:

"Manager, there is only one person selling water melons in the whole town.

The cost is 49.00 each water melon and 32.50 for a half melon.

He sells them at 13.50 per kg when sliced. He has in his stock 93 melons, each one weighing about 7kg.

He has a farm and can supply us with melons for the next 4 months at a rate of 102 melons per day at 27.00 per melon; this includes delivery.

The melons appear fresh and red with good quality, and they taste better than the ones we sold last year.

He has his own slicing machine and is willing to slice for us free of charge.

We need to strike a deal with him before 10am tomorrow and we will be sure of beating last year's profits in melons by 223 000.00.

This will contribute positively to our overall performance as it will add a minimum of 3.78% to our current overall sales target.

I have put this information down in writing and is available on spreadsheet.
Please let me know if you need it as I can send it to you in fifteen minutes."

Thomas was very impressed and realized the difference between himself and Ezra.
He decided not to resign but to learn from Ezra.

soma zaidi kuhusu Interesting story for new year

A Business Plan Layout

State the business’s legal name

soma zaidi kuhusu Business Plan Layout

A Jifunze kuwajali wazazi kwa kusoma kisa hiki

Lameck alikuwa akiendesha gari kwa kasi sana alipokutana na akina Mama watatu ambao walinyoosha mkono kumuomba lift, ingawa alikua na haraka lakini aliwaonea huruma na kusimama, sehemu waliyokuwa ilikuwa ni kichakani na kwakuwa alikuwa peke yake hakuona sababu ya kuwanyima lift.

soma zaidi kuhusu Jifunze kuwajali wazazi kwa kusoma kisa hiki

A SIRI YA HERUFI YA MWANZO YA JINA LAKO

HERUFI A
Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira.

soma zaidi kuhusu SIRI YA HERUFI YA MWANZO YA JINA LAKO

A Business Debt financing

This is money loaned to the business from outside source that is paid back over time.

soma zaidi kuhusu Business Debt financing

A How to write Business Description

1. Legalities - business form: proprietorship, partnership, and corporation. The licenses or permits you will need.
2. Business type: merchandizing, manufacturing or service.
3. What your product or service is.
4. Is it a new independent business, a takeover, an expansion, a franchise?
5. Why your business will be profitable. What are the growth opportunities? Will franchising impact on growth opportunities?
6. When your business will be open (days, hours)?
7. What you have learned about your kind of business from outside sources (trade suppliers, bankers, other franchise owners, franchiser, publications).
A cover sheet goes before the description. It includes the name, address and telephone number of the business and the names of all principals. In the description of your business, describe the unique aspects and how or why they will appeal to consumers. Emphasize any special features that you feel will appeal to customers and explain how and why these features are appealing.

soma zaidi kuhusu How to write Business Description
pink-kitty-purring-hug-smiley-emoticon.gif

Posti za sasa

A Status za Whatsapp

STATUS ZA WAZUNGU kwenye Whatsapp vere vere kliaaa…
πŸ‘‰sick
πŸ‘‰at movie
πŸ‘‰ in a meeting2
πŸ‘‰ kind of happy,, πŸ‘‰busy,,
πŸ‘‰available
πŸ‘‰Driving
πŸ‘‰sleeping

soma zaidi kuhusu Status za Whatsapp

A Kichekesho cha babu

BUBU MMOJA ALIULIZWA JINA
LAKE.
AKAJIBU KWA ISHARA: AKASHIKA
KOO
NA uume wake. MKALIMANI
AKASEMA
"HUYU ANAITWA KO MBO".
AKAULIZWA
UNAKAA WAPI. BUBU AKAVUA
NGUO NA
KUONYESHA sehemu yake ya tolea
aja kubwa MKALIMANI AKASEMA
"HUYU
ANAKAA HUKO KUNDUCHI".
AKAULIZWA
KWENU WANAONGEA LUGHA GANI.
BUBU
AKASHIKA KISU NA AKAMSHIKA
DADA
MMOJA SEHEMU ZA SIRI, DADA
AKAWA
MKALI NA KUTAKA KUPIGANA NA
BUBU. MKALIMANI AKASEMA
"HAPANA DADA
HUYU ANA MAANA HUKO KWAO
WANAONGEA KISUKUMA".

soma zaidi kuhusu Kichekesho cha babu

A Tips to keep yourself healthier

Drinking hot lemon water can prevent cancer. Don't add sugar. Hot lemon water is more beneficial than cold lemon water.

soma zaidi kuhusu Tips to keep yourself healthier

A Upendo wa kweli hauna sababu!

Hivi Mpenzi Hebu Niambie umenipendea nini mimi"""…Hamna Swali linalonishangazaga kama hili,halafu wadada wanalipenda balaa..Na sijui huwa wanataka tuwajibuje kwa mfano…Je niseme macho…Inye gwedegwede…Miguu yako yenye tege kama Boban..Nywele zako ndefu ama??Mbona mnatuforce tuwe waongo jamani?We Unapendwa inatosha shukuru Mungu unapendwa yaishe..Sasa hayo unayotaka kuchimbua yatakushinda…UpendΒ­o wa kweli haunaga sababu…Ukimpenda mtu kwa sababu ya kitu fulani kinachoonekana basi umeshafeli,bado uko kwenye Stage ya Tamaa…Mtu akishavuka akakupenda maana yake amevuka Tamaa maana Hardware muda wowote huwa zinazingua..Nywele zinanyonyoka..Miguu inababuka..Nyonyo zinakuwa sa 12 kama ndala za Umoja akizaa..Lazima kuwe na Inner reason ya yeye kukupenda hata kama Seating Allowance ikija ikapotea huko mbele…Sasa mdada unaambiwa Yaani mi napenda
unavyotembea yaani kama Zari kamuona Diamond stejini. Sara kamwona Jenerali Kiduta au hudahboss chick kaniona mim..πŸ˜› Na Dimples zako tu tutazaa watoto wa ukweli sana…Macho yako kama Paka mwenye Usingizi ndo yananimaliza,halafu Ukismile ndo naishiwa nguvu kama kuku mwenye Mdondo…Ukiambiwa unachekelea mwenyewe hadi gego lako lenye jino bovu linaonekana..UnablusΒ­h hadi vipele vya ukurutu vinakutoka wakati umejibiwa upuuzi Grade 1…
True Love has no reason,

soma zaidi kuhusu Upendo wa kweli hauna sababu!

A Kama simu yako ina wifi

Kama simu yako ina Wi-fi ujue we ni mke wa mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌ

soma zaidi kuhusu Kama simu yako ina wifi

A Ndoa sio utani. Soma stori hii

"Mkeo amefariki. Rudi nyumbani kwako haraka sana" Hezron alimwambia Daniel katika simu.

soma zaidi kuhusu Ndoa sio utani. Soma stori hii

A Kupima lishe au afya ya mtu

Hiki ni kipimo kinachotumika kuangalia uwiano wa urefu na uzito wa mtu, ni muhimu kuchukua vipimo kwa usahihi.Uwiano wa uzito katika Kilogramu na urefu katika mita hupatikana kwa kutumia kanuni ifuatayo:

soma zaidi kuhusu Kupima lishe au afya ya mtu

A Jifunze kuwajali wazazi kwa kusoma kisa hiki

Lameck alikuwa akiendesha gari kwa kasi sana alipokutana na akina Mama watatu ambao walinyoosha mkono kumuomba lift, ingawa alikua na haraka lakini aliwaonea huruma na kusimama, sehemu waliyokuwa ilikuwa ni kichakani na kwakuwa alikuwa peke yake hakuona sababu ya kuwanyima lift.

soma zaidi kuhusu Jifunze kuwajali wazazi kwa kusoma kisa hiki

A Angalia alichokifanya huyu mkaka alipoenda benki 🏦

At the bank..

Teller: Hii pesa ni fake

Mkaka: Shida iko wapi..pesa ni yangu..account pia ni yangu..weka tu!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

soma zaidi kuhusu Angalia alichokifanya huyu mkaka alipoenda benki 🏦

A Angalia nilichomfanya huyu mtoto

Kuna mtoto wa jirani ananibore sana kila nkimtuma kitu dukani lazima aonje, Jana nlimtuma sukari akala yote.. Sahii nmemtuma superglue haongei Sipendi ujinga mimi 😑😑😑😑😑😑

soma zaidi kuhusu Angalia nilichomfanya huyu mtoto
clicking-your-heels-smiley-emoticon.gif