Habari za leo msomaji wangu mpendwa!

Karibu kwenye Blog yangu (Ackyshine Blog)
Melkisedeck%20Leon%20Shine
Melkisedeck Leon Shine
Jina langu ni Melkisedeck Shine kutoka Kilimanjaro Tanzania. Soma zaidi kuhusu mimi>>>

Karibu kwenye blog yangu, mahali pa kutolea mawazo, maoni, kubadilishana mawazo na kushare vitu mbalimbali… enjoy! Wasiliana na mimi hapa>>>

Ackyshine blog ilianzishwa rasmi tarehe 07 Jan 2015 15:41, kwa sasa ina 07 Jan 2015 15:41 Asante kwa kuungana na mimi kwa kipindi chote hiki ambapo uliweza kusoma makala/posti mbalimbali nilizoandika kwenye blog hii.

humming_bird_flying_flower_animation_clipart.GIF

Tuzidi kuwa pamoja kwa wakati ujao ili tuweze kubadilishana mawazo, kujifunza, kukumbushiana, kufurahia na kuburudika kwa posti zijazo. Bado kuna posti nyingi zinazosubiri kupostiwa hapa, endelea kutembelea blog hii ili usipitwe na posti hizo.

Ackyshine.com ni website/tovuti yenye mkusanyiko wa Blogs nyingine nyingi ndani yake ambazo kila moja inajitegemea. Kwa mfano kuna Blog ya Afya, Blog ya Ujasiriamali, Blog ya vichekesho pamoja na Blog nyingine nyingi ambazo kila moja inasimmama kama blog moja. Kirahisi zaidi tunaweza kusema Ackyshine.com ni Mkusanyiko wa Blogs/ Blogs Collection Vile vile kuna huduma mbalimbali zinazotolewa katika blog hii.

Blog pamoja na huduma hizo zinaweza kuchanganuliwa kama ifuatavyo;-

love-song-smiley-emoticon.gif

Posti ya mwisho kwenye blog zote imetolewa leo tarehe 16 Jan 2017 19:58. 16 Jan 2017 19:58. Karibu kila siku kusoma posti na makala mpya za aina mbalimbali kuanzia vichekesho, picha, uchumi, biashara, ujasiriamali, familia, mahusiano, mapishi, lishe, afya, sayansi, tekinolojia na za dini. Bila kusahau posti za mada na mijadala. Kila siku unahakikishiwa kupata makala mpya za kusoma.