Mfahamu Melkisedeck Leon Shine

Mfahamu Melkisedeck Leon Shine

Melkisedeck%20Leon%20Shine
Melkisedeck Leon Shine

Hello!

Habari za leo ndugu yangu mpendwa?

Karibu katika Blog yangu (AckySHINE Blog)

Jina langu ni Melkisedeck Leon Shine kutoka Kilimanjaro Tanzania, Nimesomea maswala ya maendeleo kitaaluma kwenye nyanja za uchumi, ujasiriamali, uwezeshaji, mipango, usimamizi, tathimini, mazingira, ujinsia, kilimo, usalama wa chakula na lishe, ushirika, ugani, usimamizi wa rasilimali watu, mawasiliano, utafiti, tekinolojia ya habari na mtandao wa interneti.

images-15.jpeg

Vile vile mimi ni Mkulima, mtunzi/mtengenezaji na mwendeshaji wa tofuti, mjasiriamali na mwenye mwitikio mkubwa kwenye Teknolojia.

Mimi ni mwandishi wa makala mbalimbali kweye mtandao. Pamoja na haya naandika vitabu vya topiki mbalimbali pamoja na hadithi.

Kuhusu mimi

images-24.jpeg

Jina: Melkisedeck Leon Shine
Nilipotoka: Rombo, Kilimanjaro (Mchagga)
Majina mengine: Ackyshine
Umri: Miaka 24 kwa (2017)
Jinsia: Mwanaume

images-21.jpeg

Dini: Mkristo Mkatoliki
Tanzania: Tanzania, Kilimanjaro.
Kiwango cha Elimu: Shahada

Kwa maelezo wasiliana nami kupitia: moc.enihsykca|ofni#moc.enihsykca|ofni

SHINE-MELKISEDECK.jpg

Kutuma Ujumbe kwa Melkisedeck Leon Shine:

Majina yako
Kampuni au Taasisi
Acha nafasi kama hauna
Nchi
Email
Ujumbe wako

Historia yangu Kielimu

IMG_20170703_131010.jpg

Elimu ya Sekondari
Masomo:Agricultural Science, Basic Mathematics, Biology, Chemistry, Physics, English Language, Kiswahili, Geography, History & Civics

SHINE-MWENYEWE.jpg

Elimu ya Sekondari (Advance)

Galanos Agricultural School
Masomo:Science and practice of Agriculture, Biology, Chemistry, Basic Applied Mathematics & General Studies

images-23.jpeg

Elimu ya Chuo Kikuu

Sokoine University of Agriculture
Masomo: Bachelor of Rural Development

MELKISEDECK-SHINE.jpg

Karibu tena kwenye Blog yangu — Mahali ambapo ninabadilishana mawazo na vitu mbalimbali. Asante kwa kuungana nami… enjoy!

Ackyshine imeanzishwa tarehe 07 Jan 2015 15:41, Tuna 07 Jan 2015 15:41 (siku) online. Asante kwa kuwa pamoja muda wote huu. Nakuahidi mambo mazuri hapo mbeleni.

Tovuti hii ina kurasa 238907 mpaka sekunde hii, na bado inaendelea kuboreshwa na kupostiwa kila siku kwa wastani kurasa 40+ kwa siku.

Posti ya mwisho ndani ya ackyshine.com imetolewa tarehe 23 Nov 2017 09:48 (23 Nov 2017 09:48).

AckySHINE web ipo katika ligha mbili, Kiingereza na Kiswahili. Vilevile ina kategori mbalimbali zinanojitegemea na zinazosimama kama Blogs na websites za kawaida.

Zifuatazo ni kategori kuu maarufu katika Ackyshine.com;

Bado blog hii ipo kwenye matengenezo na inaongezwa vitu vingine vingi.

IMG_20170703_130432.jpg
IMG_20170703_130412.jpg
MELKISEDECK-SHINE.jpg
MELKISEDECK-LEON.jpg
images-12.jpeg
IMG_20170703_130508.jpg

Copyright © AckySHINE 2017. Melkisedeck Leon Shine