.

Melkisedeck Leon Shine personal Blog

New Personal Posts

.

< < Karibu

Pictures > >

.

Posti nyingine

A Lishe

β€’ Lishe yahusu mafunzo ya chakula na jinsi miili yetu inavyotumia chakula kamakichocheo cha ukuaji, kuzaana na utunzaji wa afya.
β€’ Lishe inajumuisha mchakato wa utoaji virutubishi vinavyohitajika kwa afya, ukuaji, kuendelea na kuishi.

soma zaidi kuhusu Lishe

A Huyu mama kweli tishio, mpaka askari wameogopa

Askari wameitwa kwenye nyumba ambayo kuna ugomvi. Wakafika halafu ikabidi waripoti kwa simu yale waliyokuta
Askari: mkuu tumekuja hapa tumekuta mama mwenye nyumba amempiga mumewe chuma cha kichwa na kumuumiza sana

soma zaidi kuhusu Huyu mama kweli tishio, mpaka askari wameogopa

A Huyu panya wa tatu ni noma

πŸ€ πŸ€ πŸ€ Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi

soma zaidi kuhusu Huyu panya wa tatu ni noma

A Ladha ya bia

Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

soma zaidi kuhusu Ladha ya bia

A FURSA HAIJI MARA MBILI: Jinsi unavyoweza kupata faida au hasara ukitumia Nafasi au fursa uliyonayo

Kwenye maisha fursa moja tu inatosha kabisa
kubadilisha hali yako ya sasa na kukuweka kwenye
kiwango kingine kabisa cha mafanikio.Kuna watu
wengi sana ambao waliwahi kufikiria kuwa maisha
yao yatachukua miaka mingi sana kabla
hayajabadilika na kwa mshangao wao walipoanza
kufanya vitu sahihi wakakutana na mabadiliko
makubwa sana katika maisha yao kwa kupitia
fursa moja tu.
Kufanikiwa kwenye maisha ni matokeo ya kujua
mambo sahihi ya kuyafanya.Ni kama ilivyo wakati
unapotaka kufungua mlango
uliofungwa,unachohitaji ni ufunguo sahihi wa
kutumia na sio vinginevyo.
Ili ufanikiwe lazima uwe mtu mwenye bidii na
ambaye unawathamini watu bila kujali hali zao za
sasa.Ili kutoka hapo ulipo na kwenda kule
unakotaka unahitaji watu wa kukuunganisha na
fursa mpya,kukuonyesha njia nzuri ya kufanya
mambo,wa kukurekebisha na watu ambao
unaweza kujifunza kwao.

soma zaidi kuhusu FURSA HAIJI MARA MBILI: Jinsi unavyoweza kupata faida au hasara ukitumia Nafasi au fursa uliyonayo

A Ways to overcome public anxiety

Erase The Preconceived Notions People typically associate the task of public speaking with stress! This is absolutely untrue! Public speaking is only stressful if you allow it to be! Ironically, if you shake off this incorrect belief, public speaking can be a very enjoyable and invigorating experience for you. Try to dig out the hidden cause for your fear, diagnose it and say hello to a new fun hobby! Knock off the fear of public humiliation! You're overreacting! It's purely psychological. Stage fright can be curbed with a smooth build up of self-confidence. The best way to start that process is by facing reality and accepting that public speaking is not as difficult as you once thought! Capitalize On Three Good Points Stumble upon three relevant points and you're ready to nail it. In other words, you have good potential to set the stage on fire! Maintain a calm and composed demeanor! You don't have to be the funniest or smartest orator on the planet to receive a round of applause. Even if you make a couple of mistakes, skip a few important portions of your speech and pause for a minute, you haven't necessarily failed! Stop focusing so much on your performance, it's the value of the content effused that matters most. As long as audiences have something valuable to take back home (or with a smile on their faces), you will be remembered positively. Bear in mind that heaps of inconsequential facts does not augment your orator status. Stick to two or three clever points and render your speech interesting and genuine. Stress on one key point if you strongly believe in it. Diminish the number of quick notes and let words flow straight from the heart to the tip of your tongue! Avoid silly complexities for you will end up boring the crowd. Prepare But Don't Over-Prepare Preparation is essential. More importantly, prepare well in advance and not overnight for anxiety will double and the outcome will be messy. Practice does indeed make a man perfect but never overdo it. A speech turns superficial when planned too far ahead. It should be natural! In fact, the more effort you put into it, the worse might be your performance. So, don't over-prepare! Relax and take a deep breath! Just rehearse once and revise the key points along with a few good examples. Memorizing a speech verbatim only ruins the authenticity of a speech and implies that you don't have a firm grasp over the subject. Try not to script the speech! Gain self confidence and you will soon begin to respect the natural public speaker hidden deep down inside of you. Select A Topic That Interests You It will make all the difference if you chose a topic that you feel strongly passionate about! You will feel excited to research the topic and make the overall speech as interesting as possible. As you immerse your heart into it, you will notice your phobia slip away. Even when you have no choice but to resort to a lackluster topic, you could make alterations to the technique or approach of speech making. For example, make a colorful PowerPoint presentation or screen a funny video! The surging enthusiasm will tranquilize the goosebumps. Be Humble, If Not Humorous While adding a glint of humor to your speech would earn you brownie points, it's not mandatory. It is important to discover your style of speaking and work on improving that. However, it is important to maintain a fine sense of humility throughout your speech. When you stand up in front of the masses, share some of your weaknesses and frailties. This highlights your image as a credible, respectable and lovable speaker. Audiences will be able to connect with you and respect your honesty. If at all, humility isn't your style, don't feign it! The pretense of acting humble is easily detectable and this will trample your image in no time! You could hence make up for it by capitalizing on your good sense of humor! After all, who doesn't enjoy a good hearty laugh! Start with a joke or narrate a bunch of anecdotes, just don't digress from the actual topic. Don't Let Hecklers Get To You! Hecklers are all over the place and most of the time, they do a pretty good job at tormenting speech makers! However, it is in your best interest that you master the art of turning a deaf ear to such obstacles or counter-attack their witty statements with a wittier one. This most definitely helps you overcome all fears. But if you are still battling with glossophobia, then you should try your best and ignore those silly sadists or respond with an "I really appreciate your comment". Visualize Success Elite athletes rely on the technique of visualization to enhance their athletic performance. Every time you rehearse your speech, visualize your audience being amazed by your oratory skills! It is best to believe in yourself and that you are conveying solution for a very strong ground-breaking problem. Hence, your audiences ought to be impressed. Hear the cacophony of thousand claps and "wows" every time you emphasize on the last sentence of your speech! Boost your confidence!

soma zaidi kuhusu Ways to overcome public anxiety

A Alichofanya mke baada ya mme wake kupenda kumchunga sana

Siku ya kwanza
MUME: Halooo vipi mke wangu salama weye?.
MKE: Salama tu
MUME: Uko wapi?
MKE: Jamani si niko nyumbani
MUME: Mhh kama kweli uko nyumbani washa blender nisikie…..mkeΒ­ akawasha blender
MKE: Umesikia?
MUME: Okay haya mi natoka kazini naja

soma zaidi kuhusu Alichofanya mke baada ya mme wake kupenda kumchunga sana

A Naona ila naona panya tu

Kuna jamaa alipata ajali akapofuka macho, akaenda hospital akawekewa macho ya paka,
dokta akamuuliza: vipi saizi unaona?
jamaa: naona ila naona panya tu

soma zaidi kuhusu Naona ila naona panya tu

A Mkalimani alivyoharibu ibada ya leo

Leo nikaamua niingie misa ya asubuhi kwenye kanisa moja la kilokole kulikua na ugeni wa mchungaji kutoka Bulgaria, Mahubiri yameanza saa 1 asubuhi hali ikawa kama hivi:

soma zaidi kuhusu Mkalimani alivyoharibu ibada ya leo

A Wosia wa mama kwa binti anayeolewa

Wanauliza uko wapi wosia wa mama kwa bintie
anaeolewa? Huu hapa!
Binti yangu, hivi sasa wewe ni mke wa mtu na
karibuni utakuwa mama pia. Mungu amenibariki
nishuhudie jinsi nilivyokufunza kupika na kufanya
shughuli nyingine za nyumbani.
Nilikufundisha jinsi ya kuheshimu mume, na
kutokuwa na hasira zisizo na msingi. Lakini kama
utafanya vinginevyo, hutakuwa binti yangu
niliyekuzaa bali mwanamke mwenzangu.
Binti yangu, unamuona mumeo? Ni gentlemen
haswa! Ila usichukulie faida ya yeye kuwa
gentlemen kumletea mizengwe. Usilete ujinga
dhidi yake. Mwanangu unaona hili kovu kwenye
paji langu la uso? Baba yako ndio alinips hili
kovu.
Alinivumilia muda mwingi sana, ila siku moja
from nowhere nilimuudhi tena, najua halikuwa
lengo lake ila hasira zilimfika hapa akanipiga
mara moja na kunumiza.
Mamii, Wanaume wanachukia pale
unapomwambia "HUWEZI". Anajua anaweza
akafanya zaidi ya hapo lakini anafanya hivyo
kukulinda asikuumize. Binti yangu pale
kutakapokuwepo na kutouelewana, jaribu kunywa
maji, huwezi ukaongea huku maji yapo mdomoni.
Sasa una familia mbili. Una bahati sana mamii,
Vumilia na heshimu familia yako kama ulivyokua
ukifanya hapa. Jifunze kuwakarimu watoto wa
majirani zako, na karibuni watoto wako
wataizunguka meza yenu kwa upendo mkila
pamoja chakula kwa furaha.
Unaliona lile hotpot langu kubwa? Nililinunua
wakati bado sina hata mtoto mmoja, kabla ya
kuwazaa ninyi. Lakini mara kadhaa nilipika
chakula na kulijaza na kula pamoja na watoto
wasio na pa kula.
Jifunze kuwa mkarimu, wakarimu wageni walau
hata kwa maji ya kunywa. Usinyanyapae wageni,
usidharau ndugu wa mumeo bali walete kwa
pamoja. Jifunze ku appreciate jitihada ndogo
zinazofanyika na karibuni watajifunza mengi
kutoka kwako na watakupenda.
Leo umevaa shela la harusi, na unaonekana ni
mzuri haswa lakini kuna gauni jingine utalivaa
tena kwa miezi tisa! Gauni la ujauzito. Nami
nililivaa pia.
Pale kutakapokuwa na kutokuelewana, usirudi
hapa nyumbani. Msuluhishe wenyewe huko huko
na jenga nyumba yenye furaha. Nilijenga yangu
na baba yako amekuwa akifurahia mpa

soma zaidi kuhusu Wosia wa mama kwa binti anayeolewa
big-hug-smiley-face.gif

Posti za sasa

A FURSA YA UJASIRIAMALI KATIKA KILIMO CHA PAPAI

HEBU CHUKUA KALUKUKETA YAKO, TUFANYE HESABU..!!
Eka moja ya shamba la papai inaweza kuingiza miche 1000-1200(elfu moja hadi elfu na mia mbili)-zile mbegu fupi. Tufanye umepanda miche 1,000. Mti mmoja ukiuhudumia vema unaweza kutoa matunda hadi 120 kwa msimu. Tufanye umetoa matunda 80, tu. Tunda moja kwa bei ya shamba tufanye umeuza bei ya "kutupwa" ya Tsh. 500/= (lakini papai lililoshiba linauzwa hadi Tsh. 3,000/= sokoni). Chukua 500/= mara 80 unapata 40,000/=(elfu arobaini kwa mti mmoja). Sasa chukua 40,000/= zidisha mara 1,000 unapata 40,000,000/=(milioni arobaini). Gharama za kulima papai ekari moja haizidi milioni mbili. Toka kupandwa hadi kuvunwa papai inachukua miezi kumi tu. Tufanye hivi: ukishavuna hii milioni 40 jibane, usiitumie, mwaka unaofuata nenda kapande tena papai ekari 20! Kama kalukuketa yako haisumbui utapata total ya Tsh. Milioni mia nane (800,000,000/=). Hapo nakuruhusu chukua milioni 100 zitumbue kwa raha zako(na mtu yeyote akikuhoji kwa nini unatumbua pesa nyingi namna hiyo? Mwambie Mkulima kaniruhusu!), Then, milioni 200 wekeza tena shambani, halafu milioni 500 weka benki. Naishia hapa kuhusu "kukalukuketi", malizia mwenyewe uone kama utakosa milioni 890 ndani ya miaka mitano. Tuache hayo. Najua utaniuliza, maswali kuhusu soko, hali ya hewa, udongo, mbegu na mengine. Tafadhali hayo maswali tafuta majibu mwenyewe, (nimekuachia home work-usilete uvivu wa kutafuniwa kila kitu). HAPA NDIPO ULIPO MCHAKATO NA TWAPASA TUU PENDA HUU NA SIO FIGUE ZA KALIKULETA

soma zaidi kuhusu FURSA YA UJASIRIAMALI KATIKA KILIMO CHA PAPAI

A Angalia huyu dogo alivyoingizwa mjini

Ndio nilikuwa nimeshuka kwenye basi la SAI BABA pale Ubungo, nina Begi kubwa Mgongoni na begi Dogo la Lap Top mkononi, sura inatazama Mbele Very Serious kama nipo kwenye Gwaride la Uhuru!..Mabega juu yanafanya Cheers na Mawingu!, natembea kwa madoido…..leo nimetoka Likizo Moshi,

soma zaidi kuhusu Angalia huyu dogo alivyoingizwa mjini

A SMS tamu za kimahaba

Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi?

soma zaidi kuhusu SMS tamu za kimahaba

A How to develop ones Enterprising Tendencies?

At some point in an entrepreneurial career a person has to start developing experience and learning actively about what they do best and what they should learn to do better, and the sooner they start learning actively the sooner they start being enterprising.

soma zaidi kuhusu How to develop ones Enterprising Tendencies?

A Unafikiri nini kilifuata??

DOGO: Mama Jana Baba Alikuja Na Mwanamke Na
Akaanza Kumtoa Nguo Huku Akimuita Beib…
BABA: Kwa Hasira Ebu Wacha Kuongea Na Chakula Mdomoni Wewe Mpumbavu Sana Khaa!!!
MAMA: Eti Nini Hebu Endelea Mwanangu Alafu
Wakafanya Nini Hawa Nguruwe… DOGO: Wakanza Kufanya Kama Vile Mlifanya Na Anko nassoro Wakati Baba Alikua Safari Za
kikazi…
MAMA: Kwa Hasira Babako Amesema Uwache
Kuongea Na Chakula Mdomoni We Kweli
Mpumbavu sana…

soma zaidi kuhusu Unafikiri nini kilifuata??

A Mchanganuo wa Tsh 300,000/= kwa uzalishaji wa kuku wa kienyeji kwa faida

*LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MTADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI.*

soma zaidi kuhusu Mchanganuo wa Tsh 300,000/= kwa uzalishaji wa kuku wa kienyeji kwa faida

A Madhara ya kuitumia plastiki kwa kuwekea chakula

Kuna hawa ndg zangu wanachemsha mihogo kisha wanaifunikia nailon ili ilainike vzr. Wengine huhifadhi ugali ktk mifuko ya plastic na kuitumbukiza kwenye maji moto ili ugali usipoe, wengine huchemsha supu ya kichwa cha ng'ombe ule ubongo wanautia ktk mifuko ya plastic na kuuchemsha ktk supu hiyo hiyo hadi unaiva ukiwa ndani ya plastic na plastic ndani ya supu. Je, hizi plastic madhara yake kitaalamu yakoje?

soma zaidi kuhusu Madhara ya kuitumia plastiki kwa kuwekea chakula

A Tips of being yourself

Who Are You? There's no possible way you can be yourself without knowing who you really are. You pretend to idolize football player David Beckham because your neighbor does and you want to gain his approval. Soon enough you will realize that you don't know what interests you because you've been whiling away time with what least interests you. Understand yourself, figure out where your deepest passion lies and be proud of your qualities. Contemplate your life and the choices you've made. Take personality tests and you will eventually disentangle the buried mesh of what had been your true interests and hobbies all along! Accept it with pride! Forget The World! So what if the person besides you passed a nasty comment on your outfit. As long as you're comfortable, does it really make a difference to your welfare? Or do you hesitate to raise your hand in class to ask the question that's persistently been pestering you simply because you fear your classmates might find it silly and doubt your intelligence. Why is their opinion even worth it? You should feel stupid for putting their opinions before your clarity on the subject! Forget the world, live your life and be yourself. Happiness will be right behind you! Breathe & Be Honest Why do you want to live through the rest of your life safeguarding your sticky web of lies? Life is never rosy for anybody. Maybe at the beginning, you might not be as fortunate as certain other coveted beings. Nevertheless, if you hold your breath and take each day as it comes, life's delicate balance will soon manifest itself. There is no good reason to be ashamed of who you are. Whether it's a physical or mental shortcoming, the most trusted way to overcoming it is by acknowledging it with courage. We are all blighted with flaws and by hiding them, we are only adding to that list! Express Your Individuality The moment self-confidence is on your side, a beautiful and unique personality will blossom! Standing out isn't easy but it usually comes from within. It might be a skill, or a manner of speaking or infectious charisma. Build up on a character that singles you out from everybody in your planet. Be yourself. Even oddly colored slippers might accentuate your eccentric character after which you might garner admiration from different sides. Don't be a prototype, be a proud unique individual. Believe In Yourself Take off that hideous mask and unleash the beauty hidden underneath its eternal ugliness! If you try to be what you're not, you're going to be unhappy through the remainder of your fake life. Thrive on solitude, engage in soul searching and you will soon be well acquainted with your new best friend- The Real You. Life will soon turn into a elongated party interspersed with memorable episodes of sadness, joy, laughter, bitterness and all the emotions experienced in the life that is worth living!

soma zaidi kuhusu Tips of being yourself

A MAANA YA MANENO YANAYOTUMIKA KATIKA MASUALA YA LISHE

ni kitu chochote kinacholiwa au kunywewa na kuupatia mwili virutubishi mbalimbali Chakula huupatia mwili nguvu, kuulinda na kuukinga dhidi ya maradhi mbalimbali .Mfano wa chakula ni ugali, wali, maharagwe, ndizi, viazi, mchicha, nyama, samaki.

soma zaidi kuhusu MAANA YA MANENO YANAYOTUMIKA KATIKA MASUALA YA LISHE
happy-bunny-smiley-emoticon.gif