.

About Ackyshine or Melkisedeck Leon Shine

Melkisedeck%20Leon%20Shine
Melkisedeck Leon Shine

Hello!

How are you today?

Welcome to my Blog (AckySHINE Blog)

My name is Melkisedeck Leon Shine from Kilimanjaro Tanzania, I am a Rural development expert by profession, Agriculturalist, web developer, entrepreneur and technology enthusiast.

Welcome to my blog β€” place for ideas, comments, interesting hacks. Thanks for visiting and… enjoy!

About Me

Name: Melkisedeck Leon Shine

Origin: Rombo, Kilimanjaro (Chagga)

Other name: Ackyshine

Age: 24Yrs old (2017)

Sex: Male

Religion: Christian Roman Catholic

Country: Tanzania, Kilimanjaro.

Education Level: Bachelor Degree

For more information contact me via moc.enihsykca|ofni#moc.enihsykca|ofni

To send a message to Melkisedeck Shine, use this form:

First name, last name
Organization or Company
Leave blank if none
Country
Email
Your message

ACADEMIC OR EDUCATION BACKGROUND

Ordinary Level

Agricultural Science, Basic Mathematics, Biology, Chemistry, Physics, English Language, Kiswahili, Geography, History & Civics

Advance Level

Galanos Agricultural School

Science and practice of Agriculture, Biology, Chemistry, Basic Applied Mathematics & General Studies

Bachelor Degree

Sokoine University of Agriculture

Bachelor of Rural Development

.

.

Posti nyingine

A Unashangaa kwa nini hufanikiwi?

Sikia haihitaji ukalishwe chini ndo uelewe, Ukweli ni kwamba unajishughulisha Sana na mambo yasiyo Kuhusu katika mafanikio.wazungu husema mind your own business sasa Sijui huu msemo unauchukuliaje?? Imagine unamjua Ali kiba hadi bafuni kwake, tour zote za mwaka huu unazijua hadi nyingine unataka kumpangia, nikuulize wewe ni mwanamziki??

soma zaidi kuhusu Unashangaa kwa nini hufanikiwi?

A SHAIRI: Kama mnataka mali, mtaipata shambani.

1. Karudi baba mmoja,
toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,
na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,
ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafae maishani.

soma zaidi kuhusu SHAIRI: Kama mnataka mali, mtaipata shambani.

A Mtu aliyefanya kazi ngumu zaidi afunguka

*SIMULIZI YA KUSISIMUA*
πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ€”
*Mtu aliyefanya kazi ngumu zaidi afunguka*

soma zaidi kuhusu Mtu aliyefanya kazi ngumu zaidi afunguka

A Hichi ndicho unatakiwa uwe nacho kulingana na umri wako

20 - 25 =Iwe kama ni kielimu hujafikia malengo yako,sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya kufanya,pigana kufa na kupona ili kama vipi urudi shule kwa pesa yako.

soma zaidi kuhusu Hichi ndicho unatakiwa uwe nacho kulingana na umri wako

A Dondoo ya leo!

DONGO LA LEO ……..
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiajiriwa maana
yake umeshindwa kujitegemea kwa ujuzi wako
(yaani hujui ufanyie nini) hivyo umeona uukabidhi
ujuzi wako kwa wenye "akili na uwezo" wa
kuupangia matumizi ya huo ujuzi wako.
Ndio maana licha ya kwamba elimu ni yako
wewe, maarifa ni yako wewe, vyeti ni vyako
wewe; na kazi unafanya wewe; lakini hao
waliokuajiri ndio wanakuamulia kiasi gani
wakulipe! Si hivyo tu bali pia wanao uhuru wa
kukupiga mkwara, kukutishia na hata kukufukuza
muda wowote (utakapowakosea, watakapojisikia
ama watakapokuchoka)! Nini nakwambia? Kama
umeajiriwa, usiridhike wala usibweteke na
mshahara pekee kwa 100%, hebu jiongeze aiseee,
una uwezo wa kuzalisha zaidi sambamba na
mshahara (waliojisikia) kukulipa.
Usiufunge uchumi wako kwenye gereza la ajira,
fikiria zaidi ya ajira maana hao waliokuajiri
nakuthibitishia HAKUNA mwenye mpango mzuri
na "future" yako, zaidi sana wanaihujumu "future"
yako!
Nimemaliza!
USHAURI WANGU ANZA KUAJIRIWA KAMA
MUWEKEZAJI TU ILI UJIAJIRI NA KUAJIRI
WENGINE.
We nuna weee, kasirika weee, vimba weee
mpaka upasuke, lakini kidonge hicho kimeze japo
kichungu, ndiyo dawa tena utafanyaje, ila mwisho
wa siku uwe na USIKU MWEMA ili ukawaze na
kuwazua vizuri.

soma zaidi kuhusu Dondoo ya leo!

A SMS boomba za mapenzi

Najiuliza kila leo hivi ni mimi tu kimeo katika dunia hii ya leo maana kila leo nayempata huishia kunipa ahadi kila leo, mpenzi kila siku waniaidi mara nitakupa leo mara kabla ya machweo, hivi ni lini utanipa jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika? Nakupenda mpenzi.

soma zaidi kuhusu SMS boomba za mapenzi

A Vichekesho kumi bora vya leo

1.
Maswali haya je una majibi? JIBU KISHA NITUMIE MAJIBU![mtihani wa maarifa ya dunia] 1. Kama hela haioti kwny miti, kwnn bank zina matawi? 2. Kwnn gundi haigandi kwenye chupa yake? 3. Kama tunatakiwa tusi-drive wkt tumekunywa, kwnn bar kuna parking? 4. Kama neno abbreviation linamaanisha ufupisho, kwnn lenyewe ni refu hvo? 5. Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa 2, kwnn tunabalehe kabla ya kufunga ndoa? Kazi kwako…

soma zaidi kuhusu Vichekesho kumi bora vya leo

A Where to look for business opportunities

(1) They can develop/evolve as a result of your personal background including your previous jobs, hobbies and personal experiences, or
(2) From opportunities in the external environment or general market place

soma zaidi kuhusu Where to look for business opportunities

A Just a notice to you

‘``1. πŸ‘‰No matter how beautiful and handsome you’re just remember Baboon and Gorillas also attract tourists .
✌Stop Boasting✌

soma zaidi kuhusu Just a notice to you

A Watu wana vimaneno

WATU WANA VIMANENOπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

soma zaidi kuhusu Watu wana vimaneno
miss-you-puppy-smiley-emoticon.gif

Posti za sasa

A The scientific death of Jesus Christ

THE (SCIENTIFIC) DEATH OF JESUS
For the next 60 seconds, set aside whatever
You're doing and take this opportunity! To share this

soma zaidi kuhusu The scientific death of Jesus Christ

A Wazo la jioni hii

πŸ“’WAZO LA JIONI HII πŸ“’

KAMA MWAKA JANA ULIPIGA HATUA NA HUJAFIKIA MALENGO MWAKA HUU PIGA MSAMBA😝

soma zaidi kuhusu Wazo la jioni hii

A Who is the Catholic Church

Before 1517, every Christian was Catholic. As such, today we know that:
If you are Lutheran then your Church was founded by Fr Martin Luther in Germany in 1517.
If you are Menonite, your Church was founded by Grebel, Mantz and Blaurock, in 1525.

soma zaidi kuhusu Who is the Catholic Church

A SMS Mafua ndiyo hii

JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA?
Cheki hii hapa……..


"Mabo dugu yagu mziba? Bwada nasubuliwa sada na bafua baka dashindwa kuadika beseji do hayo dugu yagu.
Diobeeni dipone
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapana Chezea
Bafua

soma zaidi kuhusu SMS Mafua ndiyo hii

A BUSINESS PLAN

The process of putting together a business plan, including the thought you put in before beginning to write it, forces you to take an objective, critical, unemotional look at your business project in its entirety. The business plan is an operating tool, which, if properly used, will help you manage the business and work effectively towards its success.

soma zaidi kuhusu BUSINESS PLAN

A Kichekesho cha hakimu na mtuhumiwa

HAKIMU: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo.

soma zaidi kuhusu Kichekesho cha hakimu na mtuhumiwa
happy-bunny-smiley-emoticon.gif